Baadhi ya WATANZANIA ambao ni mashabiki Wa Diamond wameoneka wakishindwa kujizuia kwa kutoa matusi mazito kwa mshindi Wa tuzo ya BETawards 2016 best international act kutoka South Africa anayejulikana kwa jina la black coffee. Walitoa matusi wakiamini kwamba tuzo haikupaswa kuwa ya black coffee Bali ni ya Diamond (wonders shall never end)😂😂😂😂😂,
Kuna msemo unaosema asiyekubali kushinda si mshindani,Kauli ambayo baadhi ya Watanzania haswaaa mashabaiki Wa diamond hawajalipa kuelewa,Na kuonekana kukosa ustaarabu Na kuangusha matusi mazito,
Ifike mahala tujue jinsi ya kutumia hizi social medias positive,kushindwa kufanya ivo ni dalili ya umaskini Wa fikra pia,Kitendo cha diamond kuwa nominated ni ushindi pia Na ni historia kwa Tanzania,
Mbona Wanaijeria Na Watu Wa mataifa mengine hawajafanya hivi?😞😞😞😞 it's a shame wallah.
Sunday, 26 June 2016
Saturday, 25 June 2016
Friday, 24 June 2016
WE SOMETIME CLAIM TO BE LOVED,AND WE FORGET THAT THERE IS INFATUATIONS
Infatuation usually occurs at the beginning of relationship when sexual attraction is central. Love
can be described as feeling of intense affection for another person. It
is most often talked about as an emotion between two persons. Hence is
also sometimes referred to as interpersonal love.
HAPPY EARTHSTONG T YOU MY YOUNG SISTER AMOR MALIKA
Birthday greetings to you my bbysister,Not all sisters that make good chemistry are bloodily related,but situations & circumstances do create a very strong & well bonded family.As you are adding up another year of life today and count yourself as a grown up woman you will still be a baby to me.I know all your dreams,and I wish you nothing but the best of it. May you grow up to be very wise.Be a godly queen & respect everyone.May all your dreams & desires comes true asap.
You have my prayers today & u will have them until am no longer existing,May you continue to be one of those kind hearted girls in the world.Enjoy your day.
Subscribe to:
Posts (Atom)





























