Monday, 26 March 2012

WATU KUMI MAARAFU NA WALIOFANIKIWA BILA DEGREE DUNIANI,KWELI MAISHA BILA DEGREE YANAWEZEKANA ,HA HA JAMANI ELIMU MUHIM ASIKWAMBIE MTU,HAWA WALIZALIWA NA VIPAJI USIJE UKAJARIBU UTAHADHIRIKA GO AND GRAB YOUR DEGREE,MSTERS,PHD & OTHERS


Mary Kay <i>Wagner</i> Ash1. Mary Kay Ash ,huyu mama alitajwa kama  ni the mot infuential businesswoman alizaliwa tarehe12, May 1918 Texas na kufariki tarehe 22 Nov,2001 akiwa na umri wa miaka 83,alisoma Chuo lakin hakumaliza SHE JUST GET MARRIED,na akaanza biashara ya Vipodozi,Baada ya mafanikio akaanzisha kampuni yake ambayo ilianzia katika vitabu kwa lengo la kuwasaidia wanawake,the the book turned into business plan,kwa msaada wa mwanae wa kiAsi kadhaa cha pesa na chake alichokuwa nacho akaanzisha kampuni inaitwa Mary kay Inc,which was then named in one of Fortunes's 100 best companies to Work for america,na one of the best 10 comapanies for women


Non-Public Biography Node
 
 
 




















 2. Halle Berry   alizaliwa tarehe  8 mwezi wa 8 1966  huko Cleveland, Ohiois,Baada ya baba yake J erome Jesse Berry kuachana na mama yake Judith Ann,alilelewa na mama yake,alipomaliza tu high school alielekea Chicago ambako alijihusisha na masula ya Urembo na uigizaji, alishiriki mashindano mengi lakin miaka ya 1980's  alishinda   Taji la Miss Teen All-American and Miss Ohio USA katika uigizaji alishinda katika  tuzo ya oscar na mwaka 2006 alikuwa katika list Forbes celebrity akiwa namba 66 out of 100 akiwa ameearn almost $16million kwa mwaka huo,yupo katika matangazo ya Revlon Cosmetics,na analipwa pesa nying katika adverts baada ya kuwin academicy award.


Michael S. Dell
3. Michael Dell alizaliwa tarehe 23 feb 1965 huko Houston, Texas,Huyu ni mwanzilishi na CEO wa Dell,Inc,aliachana na habari za chuo akiwa na umri wa miaka 19,alianzisha kicomputer kampani katika rum yake ya dom ama hostel ,baadae kwa kutumia pesa alizokuwa anapata  na kwa kutumia mikopo ya wazazi wake aakumua kupanua zaidi kampuni yake ,His parents hoped that he would pursue the study of medicine, but in his first year at the University of Texas, he started a small business, selling computer disk drives out of his dorm room,Mwenyewe anasema "my parents telling me stop doing it ,it was probably what causedt he company to get created",Mwaka 2008 Forbes walimueka katika list  ya the Most richest American akishika nafasi ya 11 kati ya 400.wakati mwa ka 2009 utajiri wake ulikuwa unakadiriwa kuwa ni $12.3 billion


 4. Henry Ford ,he was born in July 30, 1863,and died on April 7, 1947 (aged 83),He never graduated high school, but went on to start one of the largest automobile manufacturing companies in the world, Ford Motor Company. He’s also credited as being the first auto manufacturer to use an assembly line, completely revolutionizing the way cars were produced. The assembly line allowed Ford sell cars at a lower price but the company kept making higher profit because sales volumes continually increased. Time called Ford one of the most influential people of the 20th century.According to forbes utajiri wake ulikuwa katika this estimate mwaka 2008 $188.1 billion,

Bill Gates-ASG-016917.jpg

5. Bill Gates, Alizaliwa  October 28, 1955 (age 56) mjini Seattle, Washington, United  a college dropout, has been named the richest person in the world by Forbes magazine 27 times. Bill Gates, who was 10 points away from a perfect score on the SAT, enrolled at Harvard College in 1973 only to take a leave of absence two years later to form a partnership with classmate Paul Allen. The partnership became known as Microsoft. In 2007, Bill Gates received an honorary doctorate degree from Harvard University. In 2009, Forbes reports Gates’ net worth at $40 billion. and his net worth curently(2012) is estimeted to be US$ 61 billion

Andrew Jackson Picture

6. Andrew Jackson, is most-known for being the 7th president of the United States, but was also a military governor, Army commander, an attorney, and a congressman – all without ever going to college(mmh history ya huyu itabid nikapekua zaid,lakin kwa marekani si ulikuwa ukiwa na pesa tu unakuwa Raisi,ha ha ha ha huyu noumeer)
college

Rachel Going to Cut Garlic

7. Rachel Ray (born August 25, 1968, in Cape Cod, Massachusetts), hasn’t had any formal culinary training, including college, but has several cooking shows on the Food Network, a talk show on NBC, several New York Times bestselling cookbooks, and her own magazine. She got her start teaching cooking classes to customers at Cowan & Lobel, a gourmet market in Albany, New York. The classes showed customers how to cook meals in 30 minutes or less,she is also a celebrity chef. In 2008, Forbes.com ranked Rachel Ray #76 in Celebrity 100, reporting her earnings at $18 million a year.


8. John D. Rockefeller Sr , born in July 8, 1839 –  and died in May 23, 1937) a high school dropout, became the first American billionaire and is said to be the richest man in history. He founded Standard Oil, the first multinational corporation, in 1870. The Supreme Court broke up the company in 1911 stating the company had violated anti-trust law creating a monopoly.

Spielberg,_Steven

9. Steven Spielberg,was born December 18, 1946, in Cincinnati, is a movie director and producer. Spielberg was denied acceptance to film school and dropped out of California State University in Long Beach. He co-founded DreamWorks, a major film studio that’s produced several of the highest grossing movie hits and Academy award winning films. Spielberg ranked #205 on Forbes 2009 list of world billionaires with a net worth of $3 billion. He was later granted an honorary degree by USC in 1994.



10.Mark Zuckerberg,  was born May 14, 1984) ,founder of the social networking site Facebook , in the World’s Billionaires ranks #321 on Forbes’ list of 400 richest Americans. Born in 1984, Mark had an estimated net worth of $1.5 billion in 2008 and is the youngest person ever to appear on one of Forbes’ billionaire lists. He developed Facebook one year on summer vacation after borrowing money from Paypal’s co-founder Peter Theil. In 2008, Microsoft paid $240 million for 1.6% share of Facebook, leading us to believe the site is worth $15 billion.

mind you sijawapanga kwa order.......


NOTE
One thing you’ll notice is that there seem to be two types of people who make it big without going to college and those involved in the entertainment industry and those who start their own business. These college-dropouts and no-shows took risks and weren’t afraid to put their traditional plans on hold to pursue a dream. And, for them, it was a very profitable decision

HICHI NDICHO KILICHOTOKEA KATIKA SHUGHULI YA BOMOABOMOA ,NYUMBA ZILIZOKUWA ZA WATUMISHI WA MAMLAKA YA BANDARI NA RELI DAR ES SALAAM KATIKA HARAKATI ZA KUPISHA UJENZI WA KITUO CHA MABASI YAENDAYO KWA KASI

















Tingatinga likivunja nyumba za waliokuwa watumishi wa mamlaka ya Bandari pamoja na wale wa shirika la Reli
















Picha iliyopigwa juu ikionesha eneo linaliotarajiwa kujengwa kituo cha mabasi yaendayo kasi













Hawa ni fanya fujo uoneee eeh
















Mtoto Amimu Ibrahim  mwenye mwaka 1 na miez 8 akiwa amelala nje ya nyumba yao wakati zoezi la bomoabomoa likiendelea















Moja ya familia iliyokuwa ikiishi katika nyumba hizo ikwa nje wakati zoezi likiendelea















Mabaunsa wa kampuni ya Yono Auction Mart wakiwa wameimarisha ulinzi















Kamanda wa Polisi wa Polisi mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile akikagua hali ya usalama katika eneo la tukio
















FFU nao wakiwa katika kuhakikisha hali ya usalama inakuwepo wakati wa zoezi hilo




























































































Barabara ya Msimbazi ilifungwa  kupisha zoezi la bomoabomoa










wajeda walikuepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa

















Baadhi ya vijana wakiokoa mali zao































Sunday, 25 March 2012

HIVI ITAFIKA MAHALI HII NCHI ITAPUMZIKA KUKOPA?AU YENYEWE KUKOPESHA NCHI NYINGINE?NA WASINGEKUWEPO HAWA WACHINA SIJUI TUNGEKUWA WAGENI WA NANI,!!!!! CHINA NA TZ ZATILIANA SAINI MKOPO NAFUU WA ZAIDI YA 80B KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO

China ni moja ya nchi zizotusaidia sana,tuwashukuru kwa hilo........

Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (kulia ) akisaini kitabu cha wageni cha Wizara ya Fedha jijini  Dar es salaam wakati alipokwenda  kusaini mkopo na misaada kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa ajili ya kuisaidia Tanzania katika miradi mbalimbali inayozidi shilingi bilioni 80. Sherehe hizo zilisainiwa na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(hayupo pichani)  kwa niaba ya Tanzania na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao.
 Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(aliyesimama ) akitoa hotuba jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kusaini mkopo na misaada kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China. Sherehe hizo zilisainiwa na Waziri Mkulo kwa niaba ya Tanzania na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (hayupo pichani) . Msaada na Mkopo huo unazidi bilioni 80 Fedha za Kitanzania. Kushoto ni Waziri wa Uchukuzi Omar Nundu na kulia ni Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo(kushoto) na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (kulia) wakisaini makubaliano jijini Dar es salaam ya Serikali ya China kuipa mkopo nafuu na msaada kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo nchini. Msaada na mikopo hiyo ni zaidi bilioni 80 fedha za Kitanzania ambayo inazidi kuimarisha urafiki na undugu kati ya Tanzania na China.
Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao (aliyesimama ) akitoa hotuba jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kusaini mkopo na misaada kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa ajili ya kuisaidia Tanzania. Sherehe hizo zilisainiwa na Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (hayupo pichani)  kwa niaba ya Tanzania na Naibu Waziri wa Biashara wa China Li Jinzao. Kulia ni Balozi wa China nchini Lu Youqing.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliackim Chacha(katikati) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia Dkt. Florence Turuka(kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Mhandisi Omar Chambo jijini Dar es salaam wakati wa hafla fupi ya kusaini makubaliano kati ya Serikali ya China na Tanzania ya kuipa mkopo nafuu na msaada kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo  ambao ni  zaidi bilioni 80 fedha za Kitanzania.(habari na mo-blog)

BWANA SAMWELI TENGA AKIRI KUFANYA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA NA BAADHI YA VIONGOZI WA DIN WAKUBWA NA WANASIASA WAKUBWA,PIA AMEKIRI KUWAONA BAADHI YA WASANII WA MOVIE WA BONGO NA BONGOFLEVA KATIKA JUMBA LA FREEMASON,ALISEMA HAYA AKIHOJIWA NA CLOUDS FM REDIO KUPITIA KIPINDI CHA NJIA PANDA


Japokua anadai alikua mwanachama wa FREEMASONS, Samwel alikua anajihusisha na biashara ya dawa za kulevya pia na amekiri kufanya biashara hiyo na baadhi ya viongozi wakubwa wa dini wa Tanzania na hata kukaa nao meza moja, hiyo alama kwenye sikio lake la kulia anasema waliwekewa kwa makusudi ili iwe rahisi kutambulika popote atakapotokea, yani ukimuona tu unajua huyu anauza madawa ya kulevya.
 Alama hii ni kubwa ambayo amepigwa katika mguu wake wa kushoto kumtambulisha kuwa ni mwanachama wa FREEMASON, ni alama kama muhuri ambayo imechora ndani ya mfupa ambapo kwa sasa mguu umekuwa ukimuuma sana mpaka kutaka kufanyiwa uparesheni, nembo hiyo baada ya kupigwa iliambatana na KIAPO ambacho popote atakapokwenda atatambulika, alisema kwa sasa ndio inamsumbua sana kwa sababu chuma kilichotumika kumuwekea kimevunja mfupa, na hii aliifanywa huko Afrika Kusini.
---
Bw. Samweli  Tenga ambaye yeye alikwenda nchini Afrika Kusini lakini alikutana na mauza uza mwengi. Alisema kuwa aliamua kukimbilia na kujiondoa kwenye dini hiyo inayodaiwa kuwa ya kishetani baada ya kutoka gerezani huko Afrika Kusini, walikua wanatumwa kwenda kuua watu kwenye ajali na sehemu nyingine, walipewa hirizi maalum za kuwafanya wasioneane lakini baada ya kuona hayawezi hayo maisha alikimbia lakini mpaka sasa anatafutwa kwa sababu alikuwa ndio anamalizia hatua ya mwisho kuingia kwenye  kutajirishwa kwa mali kama inavyotokea kwa waumini wengine, ila akatoroka na baadae ndio akasikia jamaa aliempeleka kwenye hiyo dini nae ameuwawa baada ya kugundulika kwamba alikuwa anataka kujiondoa.
habari hii ni kwa mujibu wa kajunason blog,habari zaidi na kusikiliza clip za mahojiano hayo tafadhali tembelea www.kajunason.blogspot.com,baada ya kusikiliza utaelewa zaidi freemason ni nini!!!!
 

Friday, 23 March 2012

JOTO LA METCH YA KESHO KATI YA SIMBA SPORTS CLUB NA ES SETIF YAZIDI KUPAMBA MOTO,WANACHOHITAJI SIMBA NI KUSHINDA TU,

Logo
Full name Simba Sports Club
Nickname(s) Taifa Kubwa
Msimbazi Street Boys
Founded 1936
Ground National Stadium
Dar es Salaam
, Tanzania
(Capacity: 60,000)
Chairman Ismail Aden Rage
Manager Milovan Cirkovic
League Tanzanian Premier League
2010-2011 league 2nd
Website Club home page

Mi naitakia kila la kheri simba sports club,ishinde
Full name Entente Sportive Sétifienne
الوفاق الرياضي السطايفي
Nickname(s) L'aigle noir (The Black Eagles)
El Kahla
Founded 1958
(as Entente Sportive de Sétif)
Ground Stade 8 Mai 1945
(Capacity: 30,000)
President Abdelhakim Serrar
Manager Alain Geiger
League Ligue Professionnelle 1
2010–11 Ligue Professionnelle 1, 3rd