Nchi jirani ya Kenya,imeanzisha Teknologia ya ujumbe mfupi mashuleni,teknologia hiyo inaitwa SchoolSMS, ambayo Inawezesha shule kutuma ujumbe wa maandishi kwa wingi kwa wazazi, walimu na wadau wengine kwa bei nafuu na kwa urahisi.
Teknolojia hii inasaidia Kupeleka mawasiliano ya mara kwa mara kwa wazazi na walimu.
Programu ya SchoolSMS ni bure kwa kufungua.Shule inaweza kuwawekea wazazi taarifa za habari za Kuhusu Shule,na kuwakaribisha Wazazi kwenye mikutano ya kupitia ujumbe wa maandishi. Bidhaa hii ni kutoka Tusqee, SchoolSMS Premium ina lengo la
kuwawezesha wazazi kupokea matokeo ya mtihani kwa ya watoto wao, kuangalia taarifa ya ada kutoka shule na kujiunga na jarida la shule. Programu inatumia lugha zote mbili Kiswahili na Kiingereza.
Tanzania Tuko nyuma sana ingawaje tunaifuata Kenya ukizungumzia nchi za Afrika mashariki zinazoendelea,wenzetu wanazidi kupiga hatua,ingefaa zaidi kama tungekuwa na hii hata wale wanaondika bongo fleva lyrics kwa Exam tungeweza kuwashape Mapema kutokana na utovu wa nidhamu provided kwamba wazazi watakuwa update with everything.