Saturday, 9 June 2012

KUMBE WEMA SEPETU ALISHAWAHI KUDATE NA MO RACKA ATA KABLA HAJAWA MISS TANZANIA,NA ALISHAWAHI SWEAR KWA SIR GOD KUWA MO KAMUACHA HATOKAA ATULIE KWENYE R/SHIP YEYOTE BAADA YA KUACHWA NA MO,,MO ANAFUNGUKA

Msanii Mo racka kafunguka leo kuhusu mahusiano yake aliyowahi kuwa nayo na The former miss Tanzania Wema sepetu baada ya kuulizwa swali na mmoja ya watangazaji wa kipindi cha the weekend chat show kinachorushwa na Televesion ya Watu(clouds TV),

Katika mahojiano hayo Mo alikiri kudate na Wema,na Alikiri Kugombana na Diamond kwenye Simu kwa sababu ya Wema.Mo kasema alimua tu kumuacha Wema baada ya kuingia katika mashindano yakimiss kwa kuwa aliamini Msichana akishakuwa Celeb anatembea na Kila mtu,Kwahiyo akaamua kubwaga though waliendelea kuwasiliana na wema mara kwa mara Lakini hakuwahi kusema kwa watu ata vyombo vya habari kuwa alishawahi kudate na wema isipokuwa ndugu na marafiki wa karibu.

Na baada ya kuachwa Inasemekana Wema,Alisema "hatokaa atulie katika mahusiano yeyote", ambapo Mo alisema ye anaamini izo zilikuwa hasira,Na ivi Anavodate na watu tofauti ni kwamba anatafuta mahali palipo perfect,Alieleza Mo racka akihojiwa na The Weekend Chat Show.
ILA KATIKA LIST YA MABWANA ZAKE HUYU UWA HAMTAJI SIJUI KWANIN,ANYWAYS MAPENZI YANA RUN DUNIA.

No comments:

Post a Comment