Thursday, 10 May 2012

RIHANNA AAMUA KUMDELETE AU KUM-UNFOLLOW MPENZ WAKE WA ZAMANI CHRISS KWENYE AKAUNT YAKE YA TWEETER,BAADA YA CHRISS B KUMDISS RIHANA KATIKA NYIMBO YAKE MPYAA

Wiki chache zilizopita Rihana na Chriss brown walisemekana kuwa wamerudiana baada ya kufanya collabo ya wimbo unaokwenda kwa jina la birthdaycake,Na walionekana mara nyingi kutoka pamoja jambo lilozua  mjadala kwa watu na medias kuhisi watakuwa wamerudiana na Baadhi ya watu na media kuanza kumcritisize Rihanna kwa kuamua kuwa karibu tena na Chriss Brown na kusahau kabisa Kichapo(Domestic violance) ambayo alifanyiwa na Chriss brown.Rihanna alikanusha kurudiana na Chriss Baada ya kuongea na  Ryan Seacrest katika show ya KIIS FM radio miezi miwili ilopita kwa kusema"Alikuwa karibu na Chriss kwa sababu ya wimbo wa birthday cake ambapo aliona Chriss ni rapper pekee ambae anaweza kufiti katika wimbo na kumake headline,so alimuhitaji only for the track na si vinginevyo,Na Katika khali isiyo ya kawaida Rihana na Chriss brown wametokea kutoelewana tena baada ya Chriss Brown kutoa wimbo mpya ambao inasemekana amefanya remix ya wimbo wa Theraflu Wa kanye West   na kuuachia hewani usiku wa jana na kwa uwazi kabisa inaoneka kamdiss Rihana(Barbadian star),Kwa hasira Rihanna akamua kumunfollow Chriss brown na kumfuta kabisa,
Tweet nothings! Rihanna deletes Chris Brown from her Twitter 
account as ex 'disses her in new track'
Picha ambayo Chriss brown allipost katika akaunt yake ya tweeter baada ya kurelease wimbo wake mpya wa kumdiss Rihanna.

Baada ya kupost Picha yake Hiyo hapo juu Chriss Brown  aliyaandika maneno haya  katika post yake ya tweeter"Assumptions! I didn't say any names so if u took offense [sic] to it then its something you feel guilty about.'

Moja ya mstari ambao Chriss karap katika wimbo huo una maneno haya;-
 'Don't f*** with my old b*****s ... like a bad fur ... every industry n***** done had her,' continuing: 'Trick or treat like a pumpkin ... just to smash her.'
Taking offence? Rihanna pictured on Monday at the Met Gala in New 
York
Wiki hii mwimbaji alijikuta  hospitali akitundikwa  na  drip kwa ajili ya 'uchovu na upungufu wa maji mwilini' kama watu wake wa karibu wanavodai,katika miez ya ivi karibuni Rihanna amekuwa moto wa mshumaa katika ncha mbili kwamba  mwendo wa party za  kila siku na kunywa pombe na kuvuta bange kupindukia na ameshauriwa na rafiki zake wa karibu kumona Doctor kwa ajili ya rehab.
In hospital: Rihanna tweeted this picture from her sick bed after 
the Met Gala
Reaction: Brown followed suit by deleting Rihanna too, and posted a
 message this morning apparently addressing his former girlfriend. He 
posted the offending track, a remix of Kanye West's TheraFlu on Twitter
Chriss brown baada ya kudilitiwa na yeye akamdelete rihanna na kupost tweets unazoziona hapo juu leo asubuhi na kisha kupost huo wimbo wa remix wa Kanye west uliofanywa na Chriss brown mwenyewe na kusemekana kama kamdiss mwandada Rihanna ktk wimbo huo.

No comments:

Post a Comment