Thursday 31 May 2012

HAYA NDO MAISHA YA LULU HUKO SEGEREA

MAISHA  ya msanii maarufu ya filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye yupo katika Gereza la Segerea, yamebainika baada ya gazeti hili kunasa ukweli jinsi anavyoishi gerezani humo.
Lulu ambaye anadaiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa filamu, Steven Kanumba ‘The Great’ kilichotokea Aprili 7, mwaka huu, imeelezwa kuwa maisha yake ya mahabusu yanasikitisha.
Vyanzo vyetu kutoka katika Gereza la Segerea vinasema msanii huyo licha ya kuwa analetewa chakula kutoka nyumbani kila siku, huwa anakula baada ya kubembelezwa na baadhi ya mahabusu wenzake.
“Lulu siyo yule mnayemfahamu uraiani, humu gerezani amekuwa mtu wa kusikia kile anachoambiwa na wenzake, amekuwa msikivu sana na hupenda kulala mara kwa mara,” kilisema chanzo hicho.
Habari zinasema msanii huyo amekuwa akifundishwa aya kwa aya za Biblia na amekuwa mwepesi kushika baadhi ya mistari ya kwenye kitabu hicho kitakatifu kwa Wakristo.
“Bila shaka amekuwa akishika aya kwa kuwa alizoea kushika maneno yaliyokuwa yanaandikwa katika script za michezo ya filamu,” alisema askari mmoja wa magereza aliyeomba jina lake kutoandikwa gazetini.
Alisema kinachosikitisha ni pale anapotembelewa na rafiki zake kwani wakiondoka Lulu hushinda akilia mchana kutwa.
Aliongeza kuwa hali anayoishi nayo msanii huyo gerezani ni ya kutia huzuni na simanzi na haonekani kuzoea mazingira kama walivyo mahabusu wengine.
Hivi karibuni, ilielezwa kuwa Lulu amekuwa akivaa rosari na kusoma Biblia mara kwa mara kutokana na mafunzo anayopewa na baadhi ya walokole waliofungwa katika gereza hilo.














Habari zaidi na Zeudaku............

Monday 28 May 2012

TEEN SWEETHEARTS,BEIBER AND SELENA GOMEZ


































The twosome(madogo wanapendana mpk wanaboa a eeeh),bieber vip izo Supra na kofia chin lols,dollarly





















(Baby bieber vs Paparaziii,)I like his Supra,colour mix hakuna kumetch metch ovyooo,metokelezea sana,Swagger ziko On,














Justin na Tyson,Dogo anakula ma training

KEEPING UP WITH KANYE,HA HA HA!!!!KIM KARDASHIAN IS SEX AYSEEE!!!



























































































KANYE ANAFAIDIIII EEEEH...........

NEW HD VIDEO YA SHETA NA DIAMOND,NIDANGANYE DANGANYE


DIAMOND NI MOJA KATI YA WASANII AMBAO NAPENDA SANA KUSIKIZA ANACHOKIFANYA,THE SONG MAWAZO IS KILLING ME,TAZAMA PERFOMANCE YA DIAMOND IN BBA, PROUD OF YOU FOR THE BEST SHOW,TISHA SAAAAAAAANA
















wATCH OUT DIAMOND ON STAGE OF BBA,YAANI NI TEN OVER TEN

AM BLOODLY SIMBA SPORTS CLUB NUMBER ONE FUN,IVI NDO ILIVOKUWA KATIKA MAANDANO YA SHEREHE ZA UBINGWA KAMA ULIMISI PICHA


































(Picha na Issa Mnally /GPL)

DEAR GOD,HAVE MERCY ON NAIROBI CITY,KWELI AMANI NDO KITU CHA MUHIMU DUH!!!

Mlipuko wa bomu kutokea Tena Mjini Nai leo,ambapo inasemekana ni mwendelezo wa kikundi cha Al shabab cha Somalia,Inasemekana watu thelathini(30) ni majeruhi, kwa mujibu wa millardayo.com..
































Jengo la pili kutoka kulia ndilo lililolipuliwa leo Moi Avenue street,


























WANAOTESEKA HAWANA HATIA,MMMH....kENYA G,SHOULD DO SOMETHING THEN

Sunday 27 May 2012

SERENA WILLIAMS ALIACHANA NA MAPENZI BAADA YA KUUMIZWA SANA


No more dates: Serena Williams says she has to remove herself from
 dating for a decade
No more date kwa miaka kumi sasa,
Heartbroken tennis star  Serena Williams ameachana na mapenzi kwa miaka kumi sasa baada ya kumpoteza mwanaume ambae yeye alihisi ndo wanacop kuish pamoja kama lovers,kwa mujibu wa daily mail Serena,mahusiano yake ya mwisho yalikuwa na Rapper anaejulikana kama common lakin aliamua kugive up baada ya kushindwa kuhimili vishindo vya kuumizwa.Na star huyo alifunguka zaid kwa kusema  commitment yake kwa sasa iko zaidi kwenye Tenis,na kwamba hataki tena mapenzi kwa kuwa amekuwa na bahati mbaya tu,ana extend another one decade bila mambo ya mapenz mapenz,ivo ndo anavoishi,"aliendelea kusema".

Comeback: Williams is favourite for the French Open, which starts 
on Sunday 
 
MAPENZI YANA RUN DUNIA,!!!!!!KILA MTU YANAMTENDA HAIJALISHI UNA HOLD STATUS GANI katika maisha joh!!!! Mi zamani nilikuwa nahisi mtu yeyote mwenye status kama Rais,waziri,mbunge,hawa Wasanii wakubwa hawatendwii kabisa kwenye mapenzi kumbeee? la hashaa!!!

HAYA SASA,WALE WA MAMBO YETU YALEEE!!!NEW MOVE IN TOWN TITLED AS MEN IN BLACK 3 !!MI HUKU SIMOO KABISA

Will Smith and Tommy Lee Jones' sequel Men in Black 3 debuted as the No. 1 movie over Memorial Day weekend with $55 million domestically from Friday to Sunday.

Sequel: Will Smith and Josh Brolin from a still from Men in Black 
3, which debuted as the No. 1 movie over Memorial Day weekend


They're back: Will Smith and Tommy Lee Jones from the sequel which
 took $55 million domestically from Friday to Sunday

Storyline: Men in Black 3 reunites Smith's Agent J and Jones' 
Agent K as they battle a new alien menace that travels four decades back
 in time to do away with the younger Agent K (Josh Brolin)


































Directed by Barry Sonnenfeld
Produced by Walter F. Parkes
Laurie MacDonald
Written by Etan Cohen
Based on The Men in Black by
Lowell Cunningham
Starring Will Smith
Tommy Lee Jones
Josh Brolin
Jemaine Clement
Michael Stuhlbarg
Emma Thompson
Music by Danny Elfman
Cinematography Bill Pope
Editing by Don Zimmerman
Studio Amblin Entertainment
Parkes + MacDonald
Imagenation Abu Dhabi
Hemisphere Media Capital
Distributed by Columbia Pictures
Release date(s)
  • May 23, 2012 (2012-05-23) (France)
[1]
  • May 25, 2012 (2012-05-25) (US and UK)
Running time 106 minutes[2]
Country United States
Language English
Budget $215 million[3]
Box office $187,000,000[4]
MTANISIMULIA EEEEEEH!!!!!!!!!!!!!

THE TWOSOME,(Justin Bieber and Selena Gomez)MADOGO WANAONEKA WAKO INLOVE SAAANA,EMBU WAONEEE!!!

Justin Bieber and Selena Gomez  wanadate kwa muda sasa,and wamekuwa huruuu for sure,yaaani hakuna tatizo for them making it in public,But hapa its like wako na aibu vibayaa,(look at them)
Picha hizi zilipigwa jana wakiwa wanatoka kwenye restaurant moja for lunch date huko mjini Calfonia. Baby singer  anaonekana anajifunika na kofia kabisa hataki watu or sijui mapaparazi wasimuone.
Playing coy: Justin Bieber led Selena Gomez by the hand as they 
left Benihana restaurant in Sherman Oaks, California yesterday looking 
grumpy
Hapa Justin Kamshika baby mkono,Twende baby wangu,will never leave you,let me hold your hand...

Keeping his head down: The pint-sized pop star tried to cover his 
face with his hat as the teen lovers made their way to the car
Twende kwenye gari faster baby wange,wakitukuta hapaaaa mapaprazi itakuwa sooo,

Puppy love: The couple recently reunited after spending a few 
weeks apart 
TEEN LOVERS HAOOO!!! 

Date afternoon: Justin Bieber held tightly to sweetheart Selena 
Gomez' hand as they headed to a movie theatre in Calabasas today
Baby singer yuko na sweetheart on the way to move Theatre,Calabasas leo,But wamependeza xaana,i like selena's gawn na sandals zake za picha za juu
Beautiful: Selena looked pretty and glamorous in this flimsy maxi 
dress
Beautiful: Selena looked pretty and glamorous in this flimsy maxi 
dress
Cute chic selena looking mwaaaaaaaaaaaaaaaaah.

FROM MY HEART I LIKE THESE TEEN TWO SWEETHEARTS
Kupendana raahaaaaaaaaaaaa...................


MSANII BEYONCE KNOWLES AMBAE KWA SASA NI MAMA WA MTOTO MMOJA,AFUNGUKA ZAIDI JINSI ALIVOPOTEZA UZITO BAADA YA KUJIFUNGUA NA KURUDI KATIKA SHAPE YAKE YA KAWAIDA KATIKA PERFOMANCE YAKE YA KWANZA TOKA AJIFUNGUE MAPEMA JANUARY MWAKA HUU

Beyonce alijifungua miezi mitano iliyopita na kupata mtoto wa kike blue Ivy akiwa ndo mtoto wa kwanza,Kwa sababu hiyo akaamua kuelezea uzito aliopunguza mara baaada ya kujifungua,Single ladies star alieleza ayo kwa fans wake akiwa  katika concert ilofanyika jana huko Revel beach, Atlantic city.
Back in shape: Beyonce claims she has lost 60lbs since giving 
birth (left) and two days before having Blue Ivy (right)
Back in shape: Beyonce claims she has lost 60lbs since giving 
birth (left) and two days before having Blue Ivy (right)

Slimming down: Beyonce in her first post-pregnancy outing in 
February (left) and a month later in March (right)
Slimming down: Beyonce in her first post-pregnancy outing in 
February (left) and a month later in March (right)
Picha ya juu ni ya February na ya chini ni ya Mwanzoni mwa March,keep on retaining her shape..
Looked slim during pregnancy: Beyonce gave birth to Blue Ivy in 
January (seen here in November)
Hii picha ya Novemba,kabla hajajifungua january 2012

Beyonce aliperfom kwa mara ya kwanza jana Toka alipojifungua mtoto wake,na suala la kuwa mama halija affect chochote katika satge presence yake.Katika Concert hiyo beyonce alikuwa na watu maarafu kama,US first lady Michele Obama na binti zake Sasha na Malia,Husband support pia,Jay z alikuepo pia kushow love kwa hunie.
Looking good: Beyonce showed off her trim physique in a series of 
revealing stage costumes

No need ya kunenepeana,yaani its ike hajazaa,no manyamanyama at all.Beyonce you sex......

Saturday 26 May 2012

JOKATE,KIDOTI,KUMWAGANA NA DIAMOND KURUDIANA NA HASHEEM THABITI,KHAA MAPENZI HAYA?KAMA MBIO ZA VIJITI LOLS,JUST HEARD KWAMBA JOKATE KAPOKONYWA NA AUNT EZEKIEL,LOLS KWANI MABWANA HAKUNA LAZIMA DIAMOND?

NZI motomoto kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Mrembo Nambari 3 wa Tanzania 2006, Jokate Mwegelo limedaiwa kuvunjika, Risasi Jumamosi linatambaa nayo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, raia wa Tanzania anayecheza mpira wa kikapu nchini Marekani, Hasheem Thabit Manka anatajwa kuwa chanzo cha penzi la wawili hao kusambaratika.

KWA NINI?
Awali, Thabit aliwahi kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba ‘anatoka’ na Jokate, madai ambayo kwa upande wake mrembo huyo aliyakanusha vikali akisema anasingizwa licha ya kujikanyaga katika maelezo yake.
Hata hivyo, baadaye wawili hao ikasemekana wamemwagana kwa sababu ambazo hazikuwa wazi kwa vile uhusiano wao ulikuwa wa siri kubwa.
WAMERUDIANA?
Safari hii, kwa mujibu wa chanzo chetu, Hasheem amemrudia Jokate kwa nguvu zote huku ikidaiwa kwamba hitimisho la uhusiano wao litaishia kwenye kufunga ndoa na kuishi kama mke na mume.
KUMWAGANA KWA DIAMOND NA JOKATE
Sosi mmoja alimjulisha paparazi wetu kwa staili ya kumuuliza swali kama anafahamu lolote kuhusu wapenzi hao kupeana mkono wa kwaheri.
“Hivi jamani mnajua kama Jokate na Diamond wamemwagana? Demu amerudiana na Hasheem Thabit, tena safari hii watafunga ndoa kabisa,” alisema sosi huyo.
Akazidi kudai kuwa mbaya zaidi, Jokate amekata waya wa mawasiliano kati yake na Diamond, hali ambayo inampa wakati mgumu jamaa kwani uhusiano wao umevunjika huku akiwa bado anampenda.
‘WATUHUMIWA’ WASAKWA
Ili kupata uhakika wa madai haya, Risasi Jumamosi lilimsaka Diamond kwa njia ya simu ambapo alipopatikana na kuulizwa kuhusu madai hayo, alikuwa na haya ya kusema:
“Hamna, hamna kitu kama hicho. Unajua mambo kama hayo msiandike. Mimi nitaondoka keshokutwa kwenda kufanya shoo Big Brother, si umesikia?”
Paparazi: Yeah! Tumesikia, habari tayari ipo kwenye gazeti.
Diamond: Basi ndiyo hivyo, hiyo habari ya Jokate bwana hamna kabisa.

JOKATE NAYE ASOMEWA MASHITAKA
Baada ya kuongea na Diamond, paparazi wetu alimtwangia simu Jokate ambapo alisikiliza madai mwanzo hadi mwisho lakini badala ya kujitetea au kufafanua, alikata simu.
WEMA ATOA LA MOYONI
Kwa upande wake, aliyekuwa mchumba wa Diamond, Wema Sepetu alipoulizwa kuhusu kuvunjika kwa uhusiano wa wawili hao, alisema:
“Nilisema mimi mkanipuuza, sasa mmekiona alichokifanya Jokate? Naamini ni laana yangu kwani mimi sikuwahi kumfanyia jambo lolote baya Diamond. Mungu ameona, amenilipia. Teh! Teh! Teh!”
TUJIKUMBUSHE
Awali, ukiachana na mademu wengine, Diamond aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema. Penzi lao lilifikia hatua nzuri kwa mwanaume huyo kumvisha pete ya uchumba mrembo wake huyo.
Hata hivyo, uchumba wao ulivunjika baadaye huku Wema akimshutumu Jokate kwamba ndiye chanzo.
Jokate mwenyewe amekuwa akikana kuwa na uhusiano na Diamond lakini ilifika mahali mambo yakawa hadharani, Diamond akakiri kweupe kuwa anampenda sana mlimbwende huyo na hakuna anayeweza kuvuruga uhusiano wao.
Siku za karibuni, kuliibuka madai kwamba mcheza filamu mwenye heshima nusunusu Bongo, Aunt Ezekiel na Diamond walinaswa wakiwa kwenye hoteli moja jijini Dar es Salaam, hali iliyodaiwa kumfanya Jokate kulia wivu kwa kitendo hicho.
Kwa maana hiyo, kama Jokate amerudiana na Hasheem inawezekana kitendo cha Diamond kudaiwa kukutwa na Aunt kimechangia.

MMMH LULU VS CAPTAIN JOHN KOMBA,UKWELI HUU HAPA......!!!!!!!!!!

HATIMAYE siri ya madai kuwa Mheshimiwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Damian Komba na msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni wapenzi, sasa mambo hadharani, Risasi Mchanganyiko linakupa ukweli.
Mambo hayo ambayo yamekuwa katika vinywa vya watu na kuzagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa muda mrefu, yamewekwa kweupe na Mheshimiwa Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa la Tanzania One Theatre (TOT).
LAIVU ITV
Akizungumza katika Kipindi cha Shamsham za Pwani kinachoongozwa na Mtangazaji Hawa Hassan kupitia Runinga ya ITV Jumamosi iliyopita, Kepteni Komba alifunguka kuwa hajawahi kutembea na msanii huyo kama watu wanavyodai.
HUYU HAPA KEPTENI KOMBA
“Huwa ninawasaidia wasanii wa jinsi zote lakini watu wakiona nimemsadia msanii wa kike, wanavumisha kwamba nimemtafuna,” alisema Kepteni Komba.
Alikiri kuwa alishawahi kumpa Lulu gari lake la kifahari pale msanii huyo alipokwenda na marehemu Steven Kanumba kumuomba kwa ajili ya kumpokea mgeni wao, staa wa filamu za Kinigeria, Ramsey Nouah alipotia maguu Bongo miezi kadhaa iliyopita.
“Siyo yeye peke yake, hata JB (Jacob Steven), Ray (Vincent Kigosi) na Kanumba wameshafika kuniomba hata nyumba yangu kufanyia maigizo nikawapa lakini ninapomsaidia JB hawasemi kwa kuwa ni mwanaume, ila nikimsaidia msanii wa kike, watu (wambeya) wanasema nimemtafuna,” alisema Komba kwa mshangao.
LA ROHONI
Mbunge huyo alilazimka kutoa yake ya moyoni baada ya kipindi hicho kufika kwenye kipengele kinachoitwa La Rohoni ambacho humtaka mgeni mwalikwa kusema linalomkereketa moyoni mwake.
“Kwa kweli wanaoendelea kusema, acha waseme lakini ukweli ndiyo huo sihusiki kabisa na habari hizo kwa kuwa siyo za kweli,” aliendelea kufunguka Kapteni huyo mstaafu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ).
TUMEFIKAJE HAPA?
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai mitaani na mitandaoni kuwa Kepteni Komba ana uhusiano usiofaa na Lulu lakini kwa kauli hiyo mheshimiwa huyo amemaliza utata huo.
Wakati hayo yakijiri, Lulu bado yupo nyuma ya nondo za mahabusu kwenye Gereza la Segerea jijini Dar kwa kuhusishwa na kifo cha Kanumba ambapo kesi yake itafikishwa Mahakama Kuu Mei 28, mwaka huu.

































Friday 25 May 2012

IF I WOULD BE ANYONE ELSE I WOULD BE MICHELLE OBAMA wallah tena,I LIKE EVERYTHING IN HER,ANAVOVAA,RANGI YAKE,MUME WAKE NAMPENDA PYA,HER KIDS,THE KIND OF LIFE SHE IS LIVING,THIS WOMAN IS MORE THAN THE FIRST LADY,


Bedtime ritual: Michelle Obama, pictured arriving in Chicago on 
Saturday, has described how the President 'tucks her in' to bed each 
night 
 
Holding her own: Mrs Obama, pictured doing push-ups with 
Archbishop Desmond Tutu last year, says she can outpace her husband in 
the gym
Holding her own: Mrs Obama, pictured doing push-ups with Archbishop Desmond Tutu last year, says she can outpace her husband in the gym

























































KWELI NG'OMBE HAZEEKI MAINI J.LO(JENIFFER LOPEZ 42 YRS OLD) IS NOW DATING HER BACK UP DANCER(CASPER SMART 24 YRS OLD)MMMMH......

I think J.lo is raping ha ha ha ha ha ha!!!(joking),buh who brought love?ashhhhh!!!! i wish kumuona ana re-conciliate na Marc Anthony.............
mmmH,they go shopping,hadi kamnunulia Gari lols,kweli utamuuu noumeeeer,unaeza honga ata meli au baharii ,but hakuna cha usugar mamy hapo kwani nani asiejua kama kuwa na mpenzi ni basic need?,go go go jennifer....





































































































Hiyo ndo gari ambayo mwanamama kamnunulia dogoo,

AM NOT INTO FASHION BUT NAPENDA KUVAA NA KUPENDEZAAA,NAPENDA GAWN NA VIATU VIREFUU KAMA KWENEYE PICHA,WHO WORE IT BETTER,KIM ,SAI OR THE OTHER GAL?

 

THIS TIME EPIQ BSS(BONGO STAR SEARCH) INAKUJA WITH A FULL PACKAGE,SASA WATANZANIA MFUNGUE NJIA KITOTO CHA ANZA TAMBAAAA!!!!!! NAUPENDA WIMBO AMBAO UNAPIGWA KAMA JINGLE KWA KUITANGAZA EBSS,GOOD JOB MAUNDA ZORO



This time washirika watatoka mikoa nane,umri wa kushiriki ni kuanzia miaka 16 na kuendelea,kushiriki kwa vikundi na kujajiwa kama mtu mmoja inaruhusiwa,Wadhamini wapya Ni Zantel,Donge nono la Mshindi wa kwanza ni Mill 50,(wish i would i have them)Kitaa wangekomajee,Albam ya mshindi wa kwanza itakuwa sponsered na Zantel,ama kweli kitoto cha anza tambaa,Watanzania tufungue Njia,Yote Tisa kumi am waiting For the finals ataletwa msaanii ganii wa majuu,Pia Kutakuwa na EBSS house,itaoneshwa kupitia ITV na nchi nyingine nane zitaangalia kupiti zuku(king'amuzi hiki kama star time) sijajua izo nchi izo ni zipi ila probably zitakuwa za Africa mashariki na nyingine,
Below ni picha za uzinduzi........

Founder wa Bongo Star Search, Madam Ritha akiongea na media .....