Sunday, 26 February 2012

USHAWAHI KUFIKIRIA KWANINI WANAWAKE WENGI WA TANZANIA AU AFRICA WANAPENDA KUOLEWA NA WAZUNGU?

Habari Wadau wa hot-universe,Nimekaaa kujiuliza kwanini wanawake wengi siku hizi wanaolewa na wazungu?
Just take a look on Mamiss Tanzania wengi,mamodo,na hata watu wengine ambao eidha hawana majina wamekwisha olewa na wanaonekana kufurahia maisha? Je unamjua yeyote ambaye ameolewa na mzungu lakin hana Maisha mazuri?Mimi ninao wafahamu wote wana maisha mazuri,Je hichi ndo wanachokifata wadada?,I heard that white men wakikupenda wanakupenda for real hawazingua kama wanaume wabongo,Je hii ni sababu ya wadada wengi kuwa na Hamu ya kuolewa na Wazungu,Wanaume wakibongo hawaonekani au?au ndo kasumba mbaya,au hawana pesa?au ndo vile hawako real Mambo ya Single boy Ya Ally Kiba,Just wana look for a white men na mimi teeeh doooooh........................Msininukuu vibaya,ila thats reality  we go for those who are real .........................!!!!!!!
Hata kama Mzungu akiwa mbabu watu wanabeba tu lolest..mapenzi hayachagui Umriiiiii eeeh

 Beautiful Mr & Mrs Johansson(pictures from JG website),wife name,Devota

The bridesmaids from left Rose, Nancy Sumari, K-Lynn, Nuru the light, Hellen Kiwia & Nancy Kameja
 
Family & friends
 
 Bado mye sasa...........ha ha ha!!!!

1 comment:

  1. Njaa tu Khadija hakuna jipya,how Jide kaolewa na Gadner na life goes on,Tatizo njaa,njaaa na kutamani mafanikio ya haraka,sasa kibabu unakipeleka wapi? bongo kuna real love ila hakuna pesa thats the shit difference,they wanna do shopping in Dubai,Paris,ni hivi vibabu vilivyostaafu sweden,Denmark na Norway pekee vinaweza kufanya hivyo coz havina kingine zaidi ya kukimbia kuwekwa kwenye majumba ya kulelewa wazee kule kwao....kwa taarifa yako mswati alivitimua baada ya kugundua huo mchezo wao kule swaziland,ni mtizamu nauwasilisha boss!!! KAZI NJEMA DIJA

    ReplyDelete