Wednesday 20 June 2012

WAKATI UTAFIKA,TUACHE MENGINE YAPITE,WEMA KAFUNGUKA KAMA ILIVORIPOTIWA NA BLOG YA BONGO5,USUPERSTAR KAZI JAMANI..DUH

Baada ya jana na juzi habari za Wema Sepetu kudanganya umiliki wa nyumba yake kusambaa kwa kasi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, mrembo huyo ameibuka na kusema ‘inatosha.’
Inadaiwa kuwa nyumba ya muigizaji huyo aliyodai kuwa ameijenga kwa fedha yake mwenyewe na kutumia karibu milioni 400 mpaka inakamilika sio ya kwake kama alivyosema.
Jana kupitia mtandao wa Twitter aliandika, “ Kila mtu atasema lake, there time tuache mengine yapite.”
Katika hatua nyingine jana mama yake mzazi amesema amechoka na habari zinazozushwa dhidi ya mwanae kwenye magazeti ya udaku na ameapa kumpeleka mtu mahakamani kwa kuharibu jina la Wema.
Amesema kuwa alichokigundua ni kuwa binti yake hana rafiki wa kweli.

Akiongea na kipindi cha Take One cha Clouds jana usiku, mama huyo amesema kuna watu wamemfanya afanye mambo ambayo hakutegemea kama angeyafanya katika maisha yake.
Mambo hayo ni pamoja na kumpeleka Wema kwa waganga ili atengenezwe na sasa mwanae yuko fit japokuwa anasema alihangaika sana.
“Mama Wema kafunguka kama geti la milango miwili, kavunja hadi fensi hakuna siri tena,hadi kwa waganga duuu!” alitweet mmoja wa watu waliokuwa wakiangalia kipindi hicho.
“Mama yako kakutetea vizuri sanaa @wema_sepetu, usimvue nguo tena, achana na marafiki wa mjini, concentrate na mambo yako! Mfanye mama yako ndo msiri wako, hakuna urafiki kwenye maisha ya sasa!” aliandika mwingine.

Katika hatua nyingine mtangazaji wa kipindi hicho, Zamaradi Mketema amejikuta lawamani kutokana na kashfa hiyo ya Wema kudanganya kwenye kipindi chake.
“Mimi mwandishi, unapokwenda kufanya interview na mtu ninachotakiwa kusikiliza ni kile ninachoambiwa na mtoa habari lakini sio ninachokijua au kusikia kwa watu, nilimuuliza hii nyumba ni yako? akajibu kweli yeye ndio mmiliki sasa siwezi kubisha, magazeti yanakosea kusema mimi naipotosha jamii ya watanzania… sijaipotosha na kama kweli ile sio nyumba yake mimi sitakiwi kulaumiwa,” alikiambia kipindi cha Amplifaya cha Clouds Fm.
“Kwenye show ya Take One ndani ya wiki mbili zijazo Wema amekubali kwamba atautoa uthibitisho kuonyesha kwamba ni mmiliki halali wa hiyo nyumba japo siwezi kuutaja ni uthibitisho gani,” aliongeza

DADA ZETU WA BONGO MOVIES,JUZI JUZI ILISEMEKAMANA JACKIE WOLPER(KWA SASA ANAITWA ILHAM) AMENYANG'ANYWA GARI,AKAONA ISIWE KESI,SHOW OFF.....

Tembelea prettysintah.blogspot.com upate habareee kamili,nawasalishaaaaaaa

mimi JWM hii gari ni yangu
akifungua buti
X 6
 
hii ndo no ya halali ya gari la JackieWolper
File zima la documents
chumba cha mamie Jackie Massawe
kadi ya gari ya halali ya JWM
just zoom


this file has all the documents

 
KaSema Gari ni yake,hakuna ukweli kuhusu tuhuma zilizotelewa kwa mujibu wa reporter amabe ni shost ake ,Sintah,
 
Sa chumbani sijui kunahusika nini,mehoji tu jamani..............?
 

KAMA ULIMISI PICHA ZA MKOKO ANAOSUKUMA DIAMOND PLATNUMZ HIZI HAPA





 

  
  

 

HUYU MGANGA NOUMEEER

Monday 18 June 2012

WEMA SEPETU,GREAT SUCCESS AT A SHORT PERIOD OF TIME,WHO KNOWS?ETI KUMBE NYUMBA NA VITU VINAMILIKIWA NA FAMILIA YA NGOMA,DUUUH!!!!








CHANZO kisicho rasmi kinasema kuwa hiyo nyumba imekodiwa tu kwa ajili ya kufanya film ya the superstar ya wema, lakini si mali ya wema ilikuwa ni Promo tu,niliposikia hii habari was like daaaaaaaaaaamn,she got the confidence to create and manage life drama,anajaribu kufanya maigizo kwenye reality life,how could she dare?
duuuuuh,mi nimesikia tu jamani,

Saturday 9 June 2012

KUMBE WEMA SEPETU ALISHAWAHI KUDATE NA MO RACKA ATA KABLA HAJAWA MISS TANZANIA,NA ALISHAWAHI SWEAR KWA SIR GOD KUWA MO KAMUACHA HATOKAA ATULIE KWENYE R/SHIP YEYOTE BAADA YA KUACHWA NA MO,,MO ANAFUNGUKA

Msanii Mo racka kafunguka leo kuhusu mahusiano yake aliyowahi kuwa nayo na The former miss Tanzania Wema sepetu baada ya kuulizwa swali na mmoja ya watangazaji wa kipindi cha the weekend chat show kinachorushwa na Televesion ya Watu(clouds TV),

Katika mahojiano hayo Mo alikiri kudate na Wema,na Alikiri Kugombana na Diamond kwenye Simu kwa sababu ya Wema.Mo kasema alimua tu kumuacha Wema baada ya kuingia katika mashindano yakimiss kwa kuwa aliamini Msichana akishakuwa Celeb anatembea na Kila mtu,Kwahiyo akaamua kubwaga though waliendelea kuwasiliana na wema mara kwa mara Lakini hakuwahi kusema kwa watu ata vyombo vya habari kuwa alishawahi kudate na wema isipokuwa ndugu na marafiki wa karibu.

Na baada ya kuachwa Inasemekana Wema,Alisema "hatokaa atulie katika mahusiano yeyote", ambapo Mo alisema ye anaamini izo zilikuwa hasira,Na ivi Anavodate na watu tofauti ni kwamba anatafuta mahali palipo perfect,Alieleza Mo racka akihojiwa na The Weekend Chat Show.
























































ILA KATIKA LIST YA MABWANA ZAKE HUYU UWA HAMTAJI SIJUI KWANIN,ANYWAYS MAPENZI YANA RUN DUNIA.

Friday 1 June 2012

STARS WA CHOP MY MONEY,PETER & PAUL(PSQUIRE) SASA KUMILIKI NDEGE BINAFSI NA KUSAIN MKATABA NA UNIVERSAL RECORDS






Muziki unalipa tena sana,its a challanges kwa African musician and Tz as well.....................,MAISHA KUTAFUTA SIO KUTAFUTANA KHEE!!!
having a private jet,mmmh........