Friday, 23 March 2012

SABABU YA KIFO CHA WHITNEY HOUSTON NI HII HAPA!!!


Bobby Brown, Whitney Houston, Bobby Brown and Whitney Houston, Bobby Brown was homeless
R.I.P. Whitney
Kwa mujibu wa Mtandao wa TMZ inasemekana kuwa Whitney houston alifariki akiwa na cocaine katika blood system yake ,Pamoja na L.A county Coroner kutaja sababu ya kifo cha Whitney lakin madawa haya pia yamechangia kwa kiasi kikubwa sana ,Whitney alipatawa na heart attack ambayo ilisababishwa na matumizi ya madawa hayo ya kulevya amabyo yalikuwa ni mchanganyiko wa madawa tofauti,Whitney alikutwa amekufa katika bathtub katika hotel ya Beverly Hilton mwezi uliopita ,Habari hii ime mshitua  sana mama wa msanii huyo na kufanya  aamini kuwa kumbe mwanae alikuwa hajaacha kutumia madawa,
Watumiaji wengine wanaeza kujifunza kuanzia hapa sasa,Vitu vingine vinaepukika,May her soul rest in peace

No comments:

Post a Comment