Saturday, 13 April 2013

BAADHI YA WALIOWAHI KUWA NA BADO NI WANAWAKE MARAIS DUNIANI,

 Ellen Johnson-Sirleaf raisi wa wa Liberia na raisi wa kwanza mwanamke Afrika.
Dilma Rousseff raisi wa  Brazil
   
Cristina Fernandez raisi wa Argentina
 Joyce Banda raisi wa Malawi

 Atifete Jahjaga raisi wa  Kosovo
 Geun-hye Park raisi wa South Korea
Gloria Mascapagal-Arroyo aliwahi kuwa raisi wa Philippines toka 2001 mpaka 2010.
 
Mary McAleese alikuwa raisi wa Ireland kutoka mwaka 1997 mpaka 2011.
Michelle Bachelet aliwahi kuwa raisi wa Chile mwaka 2006 mpaka 2010
Tarja Halonen aliwahi kuwa rais wa Finland mwaka 2000 mpaka mwaka 2012
Chandrika Kumaratunga alikuwa raisi wa Sri Lanka kutoka mwaka 1994 mpaka 2005
Chanzo: http://dinamarios.blogspot.com/2013/04/waliwahi-au-bado-ni-wanawake-maraisi.html

No comments:

Post a Comment