Sunday, 26 June 2016

WATANZANIA KUSHAMBULIA PAGE YA BET & BLACKCOFEE MSANII ALIYESHINDA TUZO YA BEST INTERNATIONAL ACT ILOKUWA IKISHINDANIWA NA DIAMOND NA WASANII WENGINE AFRICA

Baadhi ya WATANZANIA ambao ni mashabiki Wa Diamond  wameoneka wakishindwa kujizuia kwa kutoa matusi mazito kwa mshindi Wa tuzo ya BETawards 2016 best international  act kutoka South Africa anayejulikana kwa jina la black coffee. Walitoa matusi wakiamini kwamba tuzo haikupaswa kuwa ya black coffee Bali ni ya Diamond (wonders shall never end)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,

Kuna msemo unaosema asiyekubali kushinda si mshindani,Kauli ambayo baadhi ya Watanzania haswaaa mashabaiki Wa diamond hawajalipa kuelewa,Na kuonekana kukosa ustaarabu Na kuangusha matusi mazito,

Ifike mahala tujue jinsi ya kutumia hizi social medias positive,kushindwa kufanya ivo ni dalili ya umaskini Wa fikra pia,Kitendo cha diamond kuwa nominated ni ushindi pia Na ni historia kwa Tanzania,

Mbona Wanaijeria Na Watu Wa mataifa mengine hawajafanya hivi?😞😞😞😞 it's a shame wallah.


No comments:

Post a Comment