Tuesday, 8 May 2012

KAMA NI KWELI KUWA DIAMOND NA JOKATE NI WAPENZI,BASI ITS A TIME NOW DIAMOND AKAE KIMYA TU,PUBLICITY NI MBAYA SANA WAKATI MWINGINE,

 


Diamond na Jokate,kwa Mujibu wa Globalpublishers Wema aliwatakia kila la kheri,NA MIMIPYA WISHING THEM KILA LA KHERI,MAY YOU GUYS BE SERIOUS!!!!!!!!!!!

BAADA ya mwanamuziki Naseeb Abdul ‘Diamond’ kukiri ‘kutoka’ na mwanamitindo Jokate Mwegelo, Wema Sepetu amewatakia kila la heri katika uhusiano wao.
Wema ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond aliliambia Ijumaa hivi karibuni kuwa, licha ya kutoa maneno hayo mashabiki wake ndiyo wajue kuwa aliposema Jokate anamuibia penzi alikuwa na uhakika na si kwamba alizusha kama baadhi walivyokuwa wakidai.
“Kwa sasa nina mtu wangu kwa hiyo siwezi kuongelea chochote kuhusiana na Diamond kuwa na Jokate ila nawatakia kila la kheri katika uhusiano wao,” alisema Wema.
No comments:

Post a Comment