Friday, 25 May 2012

THIS TIME EPIQ BSS(BONGO STAR SEARCH) INAKUJA WITH A FULL PACKAGE,SASA WATANZANIA MFUNGUE NJIA KITOTO CHA ANZA TAMBAAAA!!!!!! NAUPENDA WIMBO AMBAO UNAPIGWA KAMA JINGLE KWA KUITANGAZA EBSS,GOOD JOB MAUNDA ZOROThis time washirika watatoka mikoa nane,umri wa kushiriki ni kuanzia miaka 16 na kuendelea,kushiriki kwa vikundi na kujajiwa kama mtu mmoja inaruhusiwa,Wadhamini wapya Ni Zantel,Donge nono la Mshindi wa kwanza ni Mill 50,(wish i would i have them)Kitaa wangekomajee,Albam ya mshindi wa kwanza itakuwa sponsered na Zantel,ama kweli kitoto cha anza tambaa,Watanzania tufungue Njia,Yote Tisa kumi am waiting For the finals ataletwa msaanii ganii wa majuu,Pia Kutakuwa na EBSS house,itaoneshwa kupitia ITV na nchi nyingine nane zitaangalia kupiti zuku(king'amuzi hiki kama star time) sijajua izo nchi izo ni zipi ila probably zitakuwa za Africa mashariki na nyingine,
Below ni picha za uzinduzi........

Founder wa Bongo Star Search, Madam Ritha akiongea na media .....


 


 

No comments:

Post a Comment