Sunday, 27 May 2012

SERENA WILLIAMS ALIACHANA NA MAPENZI BAADA YA KUUMIZWA SANA


No more dates: Serena Williams says she has to remove herself from
 dating for a decade
No more date kwa miaka kumi sasa,
Heartbroken tennis star  Serena Williams ameachana na mapenzi kwa miaka kumi sasa baada ya kumpoteza mwanaume ambae yeye alihisi ndo wanacop kuish pamoja kama lovers,kwa mujibu wa daily mail Serena,mahusiano yake ya mwisho yalikuwa na Rapper anaejulikana kama common lakin aliamua kugive up baada ya kushindwa kuhimili vishindo vya kuumizwa.Na star huyo alifunguka zaid kwa kusema  commitment yake kwa sasa iko zaidi kwenye Tenis,na kwamba hataki tena mapenzi kwa kuwa amekuwa na bahati mbaya tu,ana extend another one decade bila mambo ya mapenz mapenz,ivo ndo anavoishi,"aliendelea kusema".

Comeback: Williams is favourite for the French Open, which starts 
on Sunday 
 
MAPENZI YANA RUN DUNIA,!!!!!!KILA MTU YANAMTENDA HAIJALISHI UNA HOLD STATUS GANI katika maisha joh!!!! Mi zamani nilikuwa nahisi mtu yeyote mwenye status kama Rais,waziri,mbunge,hawa Wasanii wakubwa hawatendwii kabisa kwenye mapenzi kumbeee? la hashaa!!!

No comments:

Post a Comment