Sunday, 27 May 2012

MSANII BEYONCE KNOWLES AMBAE KWA SASA NI MAMA WA MTOTO MMOJA,AFUNGUKA ZAIDI JINSI ALIVOPOTEZA UZITO BAADA YA KUJIFUNGUA NA KURUDI KATIKA SHAPE YAKE YA KAWAIDA KATIKA PERFOMANCE YAKE YA KWANZA TOKA AJIFUNGUE MAPEMA JANUARY MWAKA HUU

Beyonce alijifungua miezi mitano iliyopita na kupata mtoto wa kike blue Ivy akiwa ndo mtoto wa kwanza,Kwa sababu hiyo akaamua kuelezea uzito aliopunguza mara baaada ya kujifungua,Single ladies star alieleza ayo kwa fans wake akiwa  katika concert ilofanyika jana huko Revel beach, Atlantic city.
Back in shape: Beyonce claims she has lost 60lbs since giving 
birth (left) and two days before having Blue Ivy (right)
Back in shape: Beyonce claims she has lost 60lbs since giving 
birth (left) and two days before having Blue Ivy (right)

Slimming down: Beyonce in her first post-pregnancy outing in 
February (left) and a month later in March (right)
Slimming down: Beyonce in her first post-pregnancy outing in 
February (left) and a month later in March (right)
Picha ya juu ni ya February na ya chini ni ya Mwanzoni mwa March,keep on retaining her shape..
Looked slim during pregnancy: Beyonce gave birth to Blue Ivy in 
January (seen here in November)
Hii picha ya Novemba,kabla hajajifungua january 2012

Beyonce aliperfom kwa mara ya kwanza jana Toka alipojifungua mtoto wake,na suala la kuwa mama halija affect chochote katika satge presence yake.Katika Concert hiyo beyonce alikuwa na watu maarafu kama,US first lady Michele Obama na binti zake Sasha na Malia,Husband support pia,Jay z alikuepo pia kushow love kwa hunie.
Looking good: Beyonce showed off her trim physique in a series of 
revealing stage costumes

No need ya kunenepeana,yaani its ike hajazaa,no manyamanyama at all.Beyonce you sex......

1 comment:

  1. Dija nakupongeza sana kwa kuanzisha hii blog, kaza buti itangaze iwe na vistors wengi upate wadhamini through matangazo! huwezi kunikumbuka moja kwa moja kuna mahali tulikuwa tunawajibika pamoja (Jamana)

    ReplyDelete