Tuesday, 21 February 2012

JE UNAMFAHAMU MFANYABIASHARA MKUBWA TANZANIA SAID SALIM BAKHARESA?(AZAM)

Habari wadau, katika kuperuziperuz asubhu hii nimekutana na hii article katika moja ya website marafu Tanzania,was interested na mimi kujua alichoouliza alichopost huyu ambaye alitaka kujua Who is Said Salim Bakharesa,Wewe unamjua,ushawahi kumuona?how come mfanya biashara maarafu kama huyu asionekane?ukitafuta utakutana tu na watoto wake,sijui ni ndugu zake ambao wako katika management ya Bakharesa group kama ivi,

SAID SALIM AWADH BAKHRESA, Chairman, Bakhresa Group of Companies SAID SALIM AWADH BAKHRESA is the founding father and the Chairman of the Bakhresa Group Of Companies. He is a well-known industrialist in the mainland of Tanzania and island of Zanzibar. With a humble beginning as a small restaurateur in seventies, he created the business empire within a span of three decades. He is the mastermind behind the success of all the businesses within the group. His vision and excellent managerial skills contributed to the growth of this group to great heights.


 MOHAMED SAID BAKHRESA MOHAMED SAID BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited and is the Executive Director Of Said Salim Bakhresa & Company Limited. He is also holding Director-Ship in most of the Group Companies. Mr Mohamed is a graduate in finance, law and accounting from Southbank University, United Kingdom.He is a well-known industrialist in Uganda and Tanzania and is successfully managing Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, which is the largest wheat milling industry in Uganda. Mr Mohamed is also actively involved in the policy decision making process of the Bakhresa Group Of Companies.


OMAR SAID SALIM BAKHRESA OMAR SAID SALIM BAKHRESA, a Mechanical Engineer, is the Executive Director in charge of the Logisitic Division of Said Salim Bakhresa & Co Ltd. He has over a decade of experience in logistics & transportation industry.


ABUBAKAR SAID SALIM BAKHRESA ABUBAKAR SAID SALIM BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Grain Milling (Malawi) Limited and Bakhresa Grain Milling (Mozambique) Limitada. He also acts as Executive Director of Said Salim Bakhresa & Co. Ltd. Mr. Abubakar has done his B.Sc in Business Administration, majoring in Finance from Georgetown University, Washington D.C., USA. He is primarily involved in the wheat milling businesses of the Group and looks after the wheat procurement for the Group.

YUSUF SAID SALIM BAKHRESA YUSUF SAID SALIM BAKHRESA is the Managing Director of Bakhresa Food Products Limited and is holding Director-Ship in other Group Companies. He is actively involved in the day to day operations of Bakhresa Food Products, which is based in Tanzania and is successfully managing its operations.

 Who is Said Salim Bakhresa (Azam)?(huyu ndo alietaka kujua na hili ndo lilikuwa swali lake)
Sijui kama thread kama hii ilishawai anzishwa hapa j.f,

but i am curious to know who is s.s.bakhresa.


Najua ni nadra sana kwa nchi yoyote kuwa na mtu ambaye ni tycoon na such a biggest business man kama bakhresa


lakini hajawahi kuonekana hata sehemu moja kwenye shughuli za kijamii.


Sijawahi kumsikia akizungumza mahali, wala kuonekana picha yake mahali popote zaidi ya passport yake kwenye website yake na


picha moja kwenye mazishi ya mwanae Khalid.


Tofauti na ilivyo kwa wafanyabiashara wengine hata wale wa asili yake kama akina dewji, rostam, manji etc.


Na pia sifurahishwi na huyu jamaa kuwa producer wa kila kitu hapa tanzania, yaani mpaka chapati na nyanya,


je mamlaka zinazohusika hazina uwezo wa kuainisha hili??


Leo hii akitawala soko la chapati, nyanya, na mpaka nazi zote yeye, je hi sio hatari kwa kina mama wauza chapati?


Na wale wenye magenge ya nyanya na nazi si watafunga magenge yao??


Ni mtazamo tu wana j.f, kama una la kuongeza weka hadharani isije kuwa ni gaidi kama Osama bin Laden.


1 comment:

  1. ULIYEANDIKA UPUUZI HUO KATIKA AYA ZA MWISHONO MWISHONI NI CHUKI....NA UNAA UJINGA MWINGI. HUWEZI KUWA NA MTAZAMO KAMA HUO HALAFU UKATUTAKA RADHI...UNA HASADI KUBWA WEWE...NAKUSHAURI TAFUTA LA KUFANYA USITUANDIKIE UPUUZI KAMA HUO TENA. IMEHUSU NINI BAKHRESA KUWA OSAMA...KAMA SIO UMECHANGANYIKIWA WEWE

    ReplyDelete