Monday, 23 April 2012

ALICHOWAHI KUKISEMA LADY JAYDEE KUHUSU LULU,MWAKA 2009 WAKIWA MZALENDO PUB WAKATI BEND YAKE IKITUMBUIZA!!

Hii ilikuwa tarehe 28 June 2009,kama Jamii forum ilivorepot,

Lady Jaydee alipost ivi "Young and Pretty movie star, mimi namuita Mainda kutokana na jina alilopewa kwenye mchezo wa redio wa wahapa hapa...Anatesa sana kwenye anga za cinema hapa Bongo. Yumo pia kwenye video yangu ya wimbo Shamba..inapatika you tube....Naona atakuwa amekuwa mkubwa tayari ndio maana anakuja Machozi Band...tuwalinde wadogo zetu jamani maana mjini kuna manyang'au

(Hapa LULU alikua na miaka 14 tu lakini yuko club usiku na nani? hatujui)
Flowers, Flowers, Flowers and more Flowers all over"

Unajua,kuna aina mbili ya wazazi hapa dunia,kuna Mzazi,huyu yeye anazaa tu kisha kuhusu mtoto hajui kabisaaaa ,hawa ndo walikuwa wazazi wa Lulu,kwanza inabidi wakili kuwa walifanya makosa kumuacha mtoto ivi,where were they at this age?walifanya effort gani ili atlist kumnusuru huyu mtoto na haya,unajua yakitokea matatizo watu ndo huwa wanafunguka na wengine kusema mengi,Mi bado crying with wazazi wa huyu mtoto they did a very large mistake katik huu umri Mdogo at machoz bendi?doing what?
kuna mzazi mlezi,huyu anazaa kisha anakuwa makin na alichokileta dunia mpka ukifika ule umri ambao anahis mtoto wake sasa anaweza kuanza kuhangaika na Ulimwengu,Labda malezi mazuri yangemkuta huyu mtoto katika huu umri leo yasingemkuta yal;iyomkuta au ata angekuwa katika aina nyingine ya maisha kabisa,tumewaona macelebrity wangapi from their small age mpk wanakua wakiwa katika khali Nzuri,Mtoto wa mwenzio ni wako, Baadhi ya Watu wa career ya bongo movie wamechangia pia kumtia ndimu huyu bint ambae ata shule alikuwa hataki,


Angalia hiyo Picha ona ambavo ilikuwa,she was too young to be exposed in those areas,watu wenye uchu 100% hawaez muacha!!


Sad 4sure,getting pain,Wazazi wake hawakumfanyia Fair katik malezi

No comments:

Post a Comment