Monday, 2 April 2012

NAPENDA SANA KUPAMBA NAPENDA PYA VITU VIZURI,KULALA MAHALI PAZURI,KUOGA BAFU NZURI,KILA KITU KINACHONIZUNGUKA


Kabati la jikoni,uwii!!!!
hapa ndo uko na madada wa kazi wa huku kwetu hapa utamtoa roho,maana usafi looh


haya chacha makulaji,cant wait for my house,sijui nani hapend kukaa mahala pazuri

OMG!!!!! simple sitting room,yan ndo nataka yangu iwe kama all these are possible,yana hapa kama una mtoto unamfungia tu ndani maana akiendea kutoa matope uko nje yeuuuu!!!utasahau kama ye ni mtoto

Ukiangalia Ndani unapa relief ya strees za maisha mweh.........

Liground hilo,rum iko romantic sana!!!!loh

sitting room!!!!so mwaaaaaaaaah

hapa chacha.....!!!
Ona hii rum,ndo ya wanao sasa unaanzia wapi kufanya usafi,kuna mitoto mitundu lol

No comments:

Post a Comment