Kiungo huyu wa Bolton atasherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 24 Ijumaa ,ni jambo la kumshukuru mungu kwakuwa atasherekea siku hiyo akiwa ana maendeleo mazuri baada ya kupata ugonjwa wa heart attack katika half time ya kipindi cha kwanza timu yake yake ilipokuwa ikicheza naTottenham katika kuwania kombe la FA mwezi uliopita.
Muamba sasa ana uwezo wa kutembea kwenye chumba chake na baadhi ya maeneo ya hospitali.

STAR huyo wa zamani wa Arsenal and Birmingham
anaonesha progress ya hali ya juu ,Na wiki iliyopita ilipostiwa picha yake katika tweeter akiwa amekaa katika kitanda chake na kuonesha smile.

Boss wa Bolton Owen Coyle baada ya kuhojiwa kuhusu hali ya mchezaji huyo alisema
Fabrice anapata sapot kubwa sana kutoka kwa uongozi wa klabu mpaka wachezaji wenzie ambao wamekuwa wakimtumia meseji za kumfariji kila siku.
************wink***************************
No comments:
Post a Comment