Sunday, 22 April 2012

EXCLUSIVELY NA TMZ: KANYE WEST KUKUTANA NA FAMILIA YA KIM KARDSHIAN,NA THE KARDISHIANS FAMILY WAONYESHA KUMKUBALI KANYE!!!
Kanye West  Alikutana na familia ya kim Jana mjini Kwa Obama,Na chanzo cha habari hii, kinasema Familia hiyo ilimkubali sana Kanye west,Kanye na Kim walionekana kuwa na Furaha sana baada ya Kukutana na Familia hiyo ,Familia inasema Kim na Kanye have such a good chemistry (perfect couple),
Mmh!!!tusubiri harusi nyingine tu ya kim na Kanye,and i hope watadumu cause wamekuwa marafiki wa muda mrefu toka mwaka 2004,From friends to more than Friends,it seems walikuwa wanapendana kisirisiri,na Probably walianza date before they made it official.Mambo ya therafluuuuu!!!!!!♥♥♥♥♥......... 

No comments:

Post a Comment