Monday, 23 April 2012

LULU(ELIZABETH MICHAEL) MAHAKAMANI TENA LEO APRIL 23,KWA TUHUMA ZA KUDHANIWA KUMUUA MSANII STEVEN KANUMBA!!!!MAY DEAREST GOD HAVE MERCY ON HER!!

Leo April 23,Lulu anafikishwa tena mahakamani kwa kile kinachodaiwa Kamuua aliekuwa Boyfriend wake na msanii mwenzake Kanumba,Mengi yanasemwa kuhusu Kifo cha Steven,But who knows?tuacheni haya mambo yafate Sheria kama inavoonekana kwa sasa,So far Tumuombee kanumba alazwe mahala pema,Aimeen!!!!!!!!!!!!!!
Feeling sorry!!!!!anyways.......

No comments:

Post a Comment