Saturday, 9 June 2012

KUMBE WEMA SEPETU ALISHAWAHI KUDATE NA MO RACKA ATA KABLA HAJAWA MISS TANZANIA,NA ALISHAWAHI SWEAR KWA SIR GOD KUWA MO KAMUACHA HATOKAA ATULIE KWENYE R/SHIP YEYOTE BAADA YA KUACHWA NA MO,,MO ANAFUNGUKA

Msanii Mo racka kafunguka leo kuhusu mahusiano yake aliyowahi kuwa nayo na The former miss Tanzania Wema sepetu baada ya kuulizwa swali na mmoja ya watangazaji wa kipindi cha the weekend chat show kinachorushwa na Televesion ya Watu(clouds TV),

Katika mahojiano hayo Mo alikiri kudate na Wema,na Alikiri Kugombana na Diamond kwenye Simu kwa sababu ya Wema.Mo kasema alimua tu kumuacha Wema baada ya kuingia katika mashindano yakimiss kwa kuwa aliamini Msichana akishakuwa Celeb anatembea na Kila mtu,Kwahiyo akaamua kubwaga though waliendelea kuwasiliana na wema mara kwa mara Lakini hakuwahi kusema kwa watu ata vyombo vya habari kuwa alishawahi kudate na wema isipokuwa ndugu na marafiki wa karibu.

Na baada ya kuachwa Inasemekana Wema,Alisema "hatokaa atulie katika mahusiano yeyote", ambapo Mo alisema ye anaamini izo zilikuwa hasira,Na ivi Anavodate na watu tofauti ni kwamba anatafuta mahali palipo perfect,Alieleza Mo racka akihojiwa na The Weekend Chat Show.
























































ILA KATIKA LIST YA MABWANA ZAKE HUYU UWA HAMTAJI SIJUI KWANIN,ANYWAYS MAPENZI YANA RUN DUNIA.

Friday, 1 June 2012

STARS WA CHOP MY MONEY,PETER & PAUL(PSQUIRE) SASA KUMILIKI NDEGE BINAFSI NA KUSAIN MKATABA NA UNIVERSAL RECORDS






Muziki unalipa tena sana,its a challanges kwa African musician and Tz as well.....................,MAISHA KUTAFUTA SIO KUTAFUTANA KHEE!!!
having a private jet,mmmh........

Thursday, 31 May 2012

HAYA NDO MAISHA YA LULU HUKO SEGEREA

MAISHA  ya msanii maarufu ya filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye yupo katika Gereza la Segerea, yamebainika baada ya gazeti hili kunasa ukweli jinsi anavyoishi gerezani humo.
Lulu ambaye anadaiwa kuhusika na kifo cha aliyekuwa msanii maarufu wa filamu, Steven Kanumba ‘The Great’ kilichotokea Aprili 7, mwaka huu, imeelezwa kuwa maisha yake ya mahabusu yanasikitisha.
Vyanzo vyetu kutoka katika Gereza la Segerea vinasema msanii huyo licha ya kuwa analetewa chakula kutoka nyumbani kila siku, huwa anakula baada ya kubembelezwa na baadhi ya mahabusu wenzake.
“Lulu siyo yule mnayemfahamu uraiani, humu gerezani amekuwa mtu wa kusikia kile anachoambiwa na wenzake, amekuwa msikivu sana na hupenda kulala mara kwa mara,” kilisema chanzo hicho.
Habari zinasema msanii huyo amekuwa akifundishwa aya kwa aya za Biblia na amekuwa mwepesi kushika baadhi ya mistari ya kwenye kitabu hicho kitakatifu kwa Wakristo.
“Bila shaka amekuwa akishika aya kwa kuwa alizoea kushika maneno yaliyokuwa yanaandikwa katika script za michezo ya filamu,” alisema askari mmoja wa magereza aliyeomba jina lake kutoandikwa gazetini.
Alisema kinachosikitisha ni pale anapotembelewa na rafiki zake kwani wakiondoka Lulu hushinda akilia mchana kutwa.
Aliongeza kuwa hali anayoishi nayo msanii huyo gerezani ni ya kutia huzuni na simanzi na haonekani kuzoea mazingira kama walivyo mahabusu wengine.
Hivi karibuni, ilielezwa kuwa Lulu amekuwa akivaa rosari na kusoma Biblia mara kwa mara kutokana na mafunzo anayopewa na baadhi ya walokole waliofungwa katika gereza hilo.














Habari zaidi na Zeudaku............

Monday, 28 May 2012

TEEN SWEETHEARTS,BEIBER AND SELENA GOMEZ


































The twosome(madogo wanapendana mpk wanaboa a eeeh),bieber vip izo Supra na kofia chin lols,dollarly





















(Baby bieber vs Paparaziii,)I like his Supra,colour mix hakuna kumetch metch ovyooo,metokelezea sana,Swagger ziko On,














Justin na Tyson,Dogo anakula ma training

KEEPING UP WITH KANYE,HA HA HA!!!!KIM KARDASHIAN IS SEX AYSEEE!!!



























































































KANYE ANAFAIDIIII EEEEH...........

NEW HD VIDEO YA SHETA NA DIAMOND,NIDANGANYE DANGANYE


DIAMOND NI MOJA KATI YA WASANII AMBAO NAPENDA SANA KUSIKIZA ANACHOKIFANYA,THE SONG MAWAZO IS KILLING ME,TAZAMA PERFOMANCE YA DIAMOND IN BBA, PROUD OF YOU FOR THE BEST SHOW,TISHA SAAAAAAAANA
















wATCH OUT DIAMOND ON STAGE OF BBA,YAANI NI TEN OVER TEN

AM BLOODLY SIMBA SPORTS CLUB NUMBER ONE FUN,IVI NDO ILIVOKUWA KATIKA MAANDANO YA SHEREHE ZA UBINGWA KAMA ULIMISI PICHA


































(Picha na Issa Mnally /GPL)

DEAR GOD,HAVE MERCY ON NAIROBI CITY,KWELI AMANI NDO KITU CHA MUHIMU DUH!!!

Mlipuko wa bomu kutokea Tena Mjini Nai leo,ambapo inasemekana ni mwendelezo wa kikundi cha Al shabab cha Somalia,Inasemekana watu thelathini(30) ni majeruhi, kwa mujibu wa millardayo.com..
































Jengo la pili kutoka kulia ndilo lililolipuliwa leo Moi Avenue street,


























WANAOTESEKA HAWANA HATIA,MMMH....kENYA G,SHOULD DO SOMETHING THEN

Sunday, 27 May 2012

SERENA WILLIAMS ALIACHANA NA MAPENZI BAADA YA KUUMIZWA SANA


No more dates: Serena Williams says she has to remove herself from
 dating for a decade
No more date kwa miaka kumi sasa,
Heartbroken tennis star  Serena Williams ameachana na mapenzi kwa miaka kumi sasa baada ya kumpoteza mwanaume ambae yeye alihisi ndo wanacop kuish pamoja kama lovers,kwa mujibu wa daily mail Serena,mahusiano yake ya mwisho yalikuwa na Rapper anaejulikana kama common lakin aliamua kugive up baada ya kushindwa kuhimili vishindo vya kuumizwa.Na star huyo alifunguka zaid kwa kusema  commitment yake kwa sasa iko zaidi kwenye Tenis,na kwamba hataki tena mapenzi kwa kuwa amekuwa na bahati mbaya tu,ana extend another one decade bila mambo ya mapenz mapenz,ivo ndo anavoishi,"aliendelea kusema".

Comeback: Williams is favourite for the French Open, which starts 
on Sunday 
 
MAPENZI YANA RUN DUNIA,!!!!!!KILA MTU YANAMTENDA HAIJALISHI UNA HOLD STATUS GANI katika maisha joh!!!! Mi zamani nilikuwa nahisi mtu yeyote mwenye status kama Rais,waziri,mbunge,hawa Wasanii wakubwa hawatendwii kabisa kwenye mapenzi kumbeee? la hashaa!!!