Sunday, 19 February 2012

CHRISS BROWN: DON'T TELL ANYONE I WAS AT RIHANNA'S BIRTHDAY(EXCLUSIVE reported by tmz.com)


Mtandao maarufu wa TMZ umeripoti  kwamba katika birthday bash ya rihanna jumatatu iliyopita Chriss brown alihudhuria, na kati ya wasanii waliolikwa  Katy Perry, Bruno Mars and Chris Martin, mpenzi wa zamani wa Rihanna, yani Chris Brown alikuepo na alikaa pembeni ya rihanna mwenyewe.Hii inaonesha kwamba bado wanapendana and probably wanaweza kurudiana.
Kabla ya hii stori ya Birthday Bash, weekend iliyopita, wawili hawa walionekana wakitoka studio pamoja ambapo inaaminika kwamba wanarekodi kolabo itakayotoka mwaka huu huu.
Tukirudi kwenye hii bash sasa, Chris brown alificha sana na kutaka iwe siri kubwa yeye kuhudhuria kwenye hiyo birthday bash lakini vyanzo vya kuaminika vimeamplfy kwa TMZ kwamba hata wakati wa kuingia alijificha sana.
Wakati Chris alipoingia ndani, wawili hao walionekana wakiwa karibu sana na wakiongea, wakifurahi huku wameshikana mikono ikiwa hii ni mara ya kwanza kwao kuonekana wakiwa katika mazingira ya karibu kiasi hiko, japo siku chache zilizopita walipigwa picha ambazo niliziweka hata kwenye millardayo.com, picha ambazo ziliwaonyesha wakitoka kwenye club moja ya usiku lakini kila mtu alipanda gari lake.
Baada ya kumalizika kwa hiyo Bash, kesho yake yani jumanne Rihanna ambae ana zaidi ya followers milioni 13 na laki sita kwenye twitter, aliandika kwamba “usiku wa jana ulikua special, na hata sio birthday yangu” Kama ilivoandikwa kutoka website ya Millardayo.
Rihanna's cake was pretty badass too,a giant spliff with a small rihanna made out of icing riding it  like a horse

RIHANNA ROBYN FENTY AND CHRISS BROWN BEFORE THEY BROKE UP IN 2009


They look sweet together jaman in the above pic,i like them ,good chemistry
Daaaaaah!!!!!!(wakubwa wanafaidi meen) in those sweet moments

Hawwwwty!!!!! unawatamania eeeh,dats love anyways

No comments:

Post a Comment