Monday, 27 February 2012

WENZETU KENYA WANAZIDI KUPIGA HATUA KATIKA TEKNOLOJIA YA SIMU,WAMEANZISHA SYSTEM INAITWA SCHOOL SMS SYSTEM,AMBAPO KWASASA PARENTS WANAWEZA KU ACCESS TAARIFA ZA WATOTO WAO ZA SHULE BILA KWENDA SHULE

Nchi jirani ya Kenya,imeanzisha Teknologia ya ujumbe mfupi mashuleni,teknologia hiyo inaitwa SchoolSMS, ambayo Inawezesha shule kutuma ujumbe wa maandishi kwa wingi kwa wazazi, walimu na wadau wengine kwa bei nafuu na kwa urahisi.