Saturday, 25 February 2012

WEMA AFANYA SHOPPING YA DOLLAR 40,000 DUBAI

Click image for larger version. 

Name: dubai-2.jpg 
Views: 0 
Size: 38.5 KB 
ID: 47911   Click image for larger version. 

Name: dubai-feb-20-2012-1.jpg 
Views: 0 
Size: 38.6 KB 
ID: 47910   Click image for larger version. 

Name: dubai-4.jpg 
Views: 0 
Size: 30.1 KB 
ID: 47909   Click image for larger version. 

Name: dubai-31.jpg 
Views: 0 
Size: 41.9 KB 
ID: 47908  

Haya yalikuwa maneno ya Sintah aliyoyaandika baada ya kueka hizi picha:-

"jamani jamani usije ukamfanya boy friend/husband aibee uuuuh, maana kuna watu huku ninawajua wanaona donge wanaponda utadhani hata chalinze wameshawahi kupelekwa na ma BF/Husband wao
Wema ni Wema na wewe ni wewe,jamani usikasirike wako kichuna kama ana hela ya smbusa aaah Basi sawa maana wa wenzio ku spendi milioni sabini ni kitu cha kawaida kwa shopping,hata K basil aliimba alie pata amepata

UJUMBE

Wema mimi nawajua watu wengine wataponda kaa ukijua wanatamani kuwa wako kama wewe,
so wapotezee.uko juu

nasubiri comment kwa hamu

wewe nuna ila usimlazimishe bf akununulie Chance Channel wakati kakuzoea unapaka smart collections,"

Perception yangu ni kwamba Lazima kuna mtu narushwa roho,anyways tumuacheeee 

(story from PS Blogg)

No comments:

Post a Comment