Friday 10 February 2012

KILL MUSIC AWARD NDO HIYO 2012I

BASATA, KILIMANJARO MUSIC AWARDS ZATANGAZA WATAKAOWANIA TUZO HIZO 2012

source:GLOBAL 

 Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro, George Kavishe, akiongea na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kumkaribisha Mratibu wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards, Angelo Luhala, tayari kwa kutaja majina ya watakaowania tuzo hizo.

Mwakilishi kutoka Innovex akionesha karatasi yenye majina ya wateule wa kuwania tuzo hizo muda mfupi kabla ya kuwakabidhi waratibu wa tuzo hizo tayari kwa kuyasoma.
 
Luhala (kushoto) akisoma majina ya wateule mbele ya wanahabari huku akishuhudiwa na Kavishe.
 
Baadhi ya waandishi wa habari waliofika  kwenye tukio hilo.
MCHAKATO wa kuelekea kwenye utowaji wa tuzo za Kilimanjaro Music Awards 2012 umeaanza leo kwa kutangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo kupitia vipengele mbalimbali vilivyowekwa na waandaaji wa tuzo hizo ambao ni Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kwa ushirikiano na Kampuni ya Bia nchini  (TBL).

WIMBO BORA WA MWAKA
1. Hakunaga / Suma Lee
2. Dushelele / Dully Sykes
3.Moyo Wangu / Diamond
4.Mathematics / Roma
5. Nilipe nisepe / Belle 9
6. Riz one / Izzo B

MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
1. Diamond
2. Allykiba
3. Dully sykes
 4. Bob Jr
 5. Mzee Yusuph

MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
1.Khadija Kopa
2. Isha Mashauzi
 3. Queen Darleen
 4. Dayna
 5. Shaa

MUIMBAJI BORA WA KIUME
1. Alikiba
 2. Barnaba
3. Diamond
4. Belle 9
5. Mzee Yusuph

MUIMBAJI BORA WA KIKE
1. Lina
 2. Lady Jay Dee
3. Khadija Kopa
4. Dayna
 5. Isha Mashauzi

WIMBO BORA WA R&B
1. Nilipe Nisepe / Belle 9
 2. Usiniache / Hemed
3. Maumivu / Ben Pol
4. Number one fun / Ben Pol
 5. Napata raha / Jux

WIMBO BORA WA HIP HOP
1. Famous
 2. King Zilla
3. Mathematics
 4. Riz one
 5. Kilimanjaro

MSANII BORA WA HIPHOP
1. Godzilla 2. Roma
3. Izzo b 4. Joh Makini 5. Fid Q

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
1. Kigeugeu 2. Chokoza 3. Mulika mwizi
4. Coming home 5. 4sho 4 shizzle

MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA
1. Maco Chali 2. Pancho Latino 3. Bob jr 4. Maneck 5. Man walter

VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
1. Moyo wangu 2. Hakunaga 3. Wangu / Jay dee na Blue
4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue 5. Bongo fleva / Dully sykes

WIMBO BORA WA AFRO POP
1. Hakunaga / suma lee 2. Bongo fleva / Dully sykes
3. Moyo wangu / Diamond 4. Mawazo / Diamond
 5. Nai nai / Ommy dimpoz

MSANII BORA ANAECHIPUKIA
1. Ommy dimpoz 2. Darasa 3. Recho 4. Abdul kiba 5. Beatrice aka nabisha

WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
1. Daima milele / Barnaba 2. Dushelele / Alikiba
 3. Nivute kwako / Dayna 4. Wangu / Jay Dee feat Blue
 5. Kizungu zungu / Recho

MTUNZI BORA WA MWAKA
1. Diamond
2. Alikiba
3. Mzee yusuph
4. Barnaba
5. Belle 9
WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA
1. Famous / Jay Mo feat Mimms na Imu kadir
2. King zilla / God zilla feat Marco chali
3. Wangu / Jay Dee feat Blue
 4. Kama ni gangstar / Chege feat Temba na Ferouz
5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba

WIMBO BORA WA REGGAE
1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
2. Arusha gold / Warriors from East
3. Give it up to me / Delyla princess
4. Nia yao / 20%
5. Ni wewe/ Nakaaya

WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL

1. Good look / AY feat Miss Trinity
2. Maneno maneno / Queen Darleen
3. Ganja man / Dabo
 4. Kudadeki / Malfred
5. Poyoyo / Malfred

WIMBO BORA WA TAARAB
1. Full stop / Khadija Kopa
2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
 3. Hakun mkamilifu / Jahazi
 4. Nani kama Mama / Isha Mashauz
i 5. Nilijua mtasema / Jahazi

WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
1. Dunia Daraja / African stars
2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
5. Mtenda /Extra Bongo

RAPA BORA WA MWAK A(BAND)
1. Kalidjo Kitokololo
 2.Khalid Chokoraa
3. Fagason
4. Msafiri Diof
5. Totoo ze Bingwa

No comments:

Post a Comment