Saturday, 11 February 2012

SUPER SPOT YAZINDUA CHANNEL YA AFRICA MASHARIKI,kuna kila umuhimu sasa wa kupata package ya DSTV home

 
.
Multichoice Tanzania leo wametoa goodnews kwa wapenda michezo Afrika Mashariki ambapo ishu yenyewe ni uzinduzi wa supersport 9 EAST.
Hiyo ni channel mpya ndani ya DSTV ambayo itajihusisha tu na kuonyesha michezo ya Afrika Mashariki kama vile Ligi za Kenya, Uganda & Tanzania, michezo ya Marathon, na michezo mingine itakua inaonyesha LIVE na recorded.
Kama wewe ni mteja wa DSTV katika package ya Family,compact, compact plus na Premium ambapo mpaka sasa Super sport wana channel 26 zinazojihusisha na michezo mbalimbali.

No comments:

Post a Comment