Wednesday, 21 March 2012

BYONCE,JAY-Z WAMESEMA HAWATAMRUHUSU RIHANNA KUMUONA MTOTO WAO BLUE IVY KAMA TU ATARUDIANA NA CHRIS BROWN


Rihanna blue dress beautiful pic

Kutokana na Habari zinazo ripotiwa kila siku za kuwa Rihanna anaonekana tena kuwa karibu sana na boyfriend wake wa zamani Chriss brown, Marafiki zake Jay Z na Beyonce wamemuonya mwanamuziki huyo kutoka visiwan vya Barbadian kuwa ikitokea kaamua kurudina na Chriss brown basi hawawezi kumruhusu kumuona bint yao blue ivy ambaye kwa sasa ana wiki nane,
Kwa mujibu wa mtandao wa  tribune.com.ng, Marafiki hao wa Rihanna wame claim kuwa  wamefanya ivo kwasababu wanataka mtoto wao aje kuwa na  positive role models,na sio mtu ambae athamini utu wake kwa kuamua kurudi kwa mwanaume ambae alimuabuse,Mi nahisi inawezekana hili jambo ata Chris brown linamuumiza sana sema atujuhi tu,

kwa Tz na nchi nyingi za Africa domestic violence is just a normal thing mtu anadundwa na kufanyiwa vibaya na mumewe lakin stil atarudi,

I THINK ITS A TIME TO RAISE MORE AWARENESS ON DOMESTIC VIOLENCE,MAANA NAONA CAMPAIGN ZAKE ZIKO KIMYA,EEEH.......................

"

No comments:

Post a Comment