Thursday, 15 March 2012

KAMA KUNA WADADA HAWAISHI MBWEMBWE MJINI HAPA HUYU ANAYEITWA DIVA,ANAONGOZA MWEH,HAYA NDO YALIYOANDIKWA NA JAMII FORUM KUHUSU YEYE!!!!

Diva alisikika, "Akiongea live kupitia 88•4 Clouds FM,diva(Loveness Luv) amesema kwamba mo• racka anamtumia barnaba(wa tht) kuomba msamaha ili warudiane lkn mwanadafada huyo amesema hawezi kurudiana naye mpaka aende kwenye magazeti yalimchafua akamuombe msamaha!!


(Pichani,Diva loveness na mo*racka)

I think he should go for him kama bado ana mpenda!!!!

Hizi ni Baadhi ya comment za wachangiaji........mmmh
 
 1. Muuza Sura is online now

  Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  Racka mtata!B12 atamuachia nani?
  a.k.a mnyama!!!!
 2. Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  mwanamke ni mwanamke tu.... atachomoa, ila baadaye utasikia ohh... nilimuonea huruma,, .. etii alikuwa ajiue ndio maana nimempa nafasi ya mwisho.... yaani full Masogange..
  Women get the last word in every argument. Anything a man says after that is the beginning of a new argument.
  tz1
 3. Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  pumbaa.
 4. Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  T@k@Mx
 5. Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  Quote By Muuza Sura View Post
  Racka mtata!B12 atamuachia nani?
  sasa mbona Racka amekaa kike zaidi ya B12..au ndo ile piga nikupige
 6. Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  kama anataka kurudiana naye arudiane nae. asiweke mashariti sana! anaonekana bado anampenda jamaa akimsamehe si kosa
  Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!
 7. Si ameripotiwa huyo binti ni mjamzito?sasa huyo dogo nae anataka kulea vya wenzake??
   
 8. Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!

  walane hao wenyewe kwa wenyewe nikisikia msanii wa bongo flava anamzengea demu wangu haki ya nani NINAMPOTEZA
  Am a man of my words
  Default Re: Mo• Racka aomba kurudisha majesh kwa Diva!
 9. hahaha kwa hiyo mo racka kamtema b12 .b12 kiuno kigumu nini
  Muuza Sura is online now
 10. shosti View Post
  sasa mbona Racka amekaa kike zaidi ya B12..au ndo ile piga nikupige
  Shosti!rocka mauzo tu ila B12 kalainika sana we mchunguze vizuri!!!wabongo washazoea wauza sura ndo wanaliwa ila kiukweli siyo ndo maana haya jela masela mavi sura ngumu ndo wameolewa!
  Default
 11. Quote By shosti View Post
  sijui kwa nini hadithi za B12 hua nakataa kuziamini labda vile kila mtu anazushiwa ushoga siku hizi...ila mo racka nasikia nae ni kikombe cha kahawa kajisemea Bilayla wa mashauz!
  Mashoga vidole mjini wengi!mtu akipendeza watu password zako kama hawazijui unapakaziwa kibwabwa!racka nae japo ndo inasemekana anamla B12 ila pande za mikocheni kuna washkaji walinichana nae mchicha mwiba!!!B12 kama hata haliwi ila si mzima landa kama ameanza kutumia dawa za dokta manyuki!!!waige mfano wa bilal
  mmmmh,khaa watu wana mambo!!!!!
 

1 comment:

 1. Duh..Mbona sielewi nani ni nani hapa...hahahahaha

  ReplyDelete