Monday, 26 March 2012

HICHI NDICHO KILICHOTOKEA KATIKA SHUGHULI YA BOMOABOMOA ,NYUMBA ZILIZOKUWA ZA WATUMISHI WA MAMLAKA YA BANDARI NA RELI DAR ES SALAAM KATIKA HARAKATI ZA KUPISHA UJENZI WA KITUO CHA MABASI YAENDAYO KWA KASI

Tingatinga likivunja nyumba za waliokuwa watumishi wa mamlaka ya Bandari pamoja na wale wa shirika la Reli
Picha iliyopigwa juu ikionesha eneo linaliotarajiwa kujengwa kituo cha mabasi yaendayo kasi

Hawa ni fanya fujo uoneee eeh
Mtoto Amimu Ibrahim  mwenye mwaka 1 na miez 8 akiwa amelala nje ya nyumba yao wakati zoezi la bomoabomoa likiendeleaMoja ya familia iliyokuwa ikiishi katika nyumba hizo ikwa nje wakati zoezi likiendeleaMabaunsa wa kampuni ya Yono Auction Mart wakiwa wameimarisha ulinziKamanda wa Polisi wa Polisi mkoa wa Ilala, Faustine Shilogile akikagua hali ya usalama katika eneo la tukio
FFU nao wakiwa katika kuhakikisha hali ya usalama inakuwepo wakati wa zoezi hilo
Barabara ya Msimbazi ilifungwa  kupisha zoezi la bomoabomoa


wajeda walikuepo kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa

Baadhi ya vijana wakiokoa mali zaoNo comments:

Post a Comment