Tuesday, 13 March 2012

LADY JAYDEE KUISHI NJE YA TANZANIA KWA SASA

Binafsi nampenda sana Lady jaydee,nampenda kwa mengi ata nikianza Mdescribe hapa tajaza  blog,Suala la kuishi Nje kwa malengo Ni zuri,Aliishi Ufaransa akiwa na Lengo la kujifunza kifaransa,Sasa anaishi South africa anajifunza kupiga Piano,kwani anatamani kuimba akiwa anapiga Piano,I cant wait to see her,This is a woman,The woman who is always chasing $$$$ for the living,habari zaidi ya mengine mengi aliyoyasema Jide unaeza pitia Website ya Millardayo,

.
BE BLESSED,I AM YOUR NUMBER ONE FAN,

No comments:

Post a Comment