Wednesday, 21 March 2012

NYUMBA AMBAYO MICHAEL JACKSON ND O ALIFIA(AU KUPOTEZA MAISHA AKIWA ANAISHI HUMO) INAUZWA

Nyumba imekuwa ikiwekwa sokon mara nyingi ata kabla ya  Michael kupoteza Maisha ilianza kuekwa 2008.
Yeye alirent  kwa $100,000 kwa mwezi ,mara tu alipokufa ikaekwa sokoni Nyumba ina Vyumba saba vya kulala,bathrooms 13,alafu garage za gari saba, and bei yake  ilikuwa $29million  ilipowekwa sokon  mwezi wa nane 2010.
Inasemekana imekuwa tupu bila mtu kuishi toka superstar huyo alipofariki mwaka 2009


Bei mpya ya sasa ni $23.9million,kitu for sale Jamani....

Mansion: The property is on the market for a cool $23.9million
for sale $23.9million

Huge grounds: The property is sprawled over 17,200 square feet of land  
Liground hilo apooooo!!!

Amenities: The mansion also boasts a vintage style movie theatre
movie theatre humo humo kwa hous

For sale: The Bel Air home has been on and off the market for years
The late michael jackson aliishi hapa na watoto wake watatu  Prince Michael, 13, Paris, 12, and Blanket, eight.
Lots of room: The house has seven bedrooms and 13 bathrooms 
Empty: The house is understood to have not been lived in since the singer's death in June 2009
Showing interest: It has been reported that a 'major celebrity' is due to look around the property


Falling in price: The property was listed at $29million in 2010 but the asking price has dropped more than $5million
 haya kazi kwenu.............................Ulaya bana apo bado koti lake alilovaa mara ya mwisho kupigwa mnada,kiatu chake ,na vingine.........

No comments:

Post a Comment