Tuesday, 6 March 2012

OPRAH INTERVIEWS WHITNEY HOUSTON'S FAMILY

 

IT'S A SAD EPISODE eeeh!!!! Siku ya Jumapili, Machi 11, Oprah atakaa chini na binti  wa Marehemu Whitney Houston , Bobbi Kristina; Dada wa Whitney, Patricia Houston, na kaka yake, Gary Houston,Katika show maalum  itakayarushwa  katika  show ya  Oprah  ijayo, Bobbi Kristina ataeleza  hisa zake binafsi za  kumbukumbu  ya mama yake na jinsi anavoweza kufanya ili nyota huyo aendlee  kukumbukwa. Familia Pia itafunguka  zaidi  kuhusu fununu na uvumi unaozunguka kuhusu  kifo  chake .

OMG kuwakumbusha watu machungu mtakaongalia mtanambiya kwetu hakuna Tv....na Madstv. But i just love Oprah Winfrey..........!!!!!

No comments:

Post a Comment