Thursday, 15 March 2012

JE UNAMFAHAMU MWANAMKE YEYOTE ALIYEFANIKIWA KATIKA BIASHARA ZAKE? AWE MKEO,DADA YAKO,MAMA YAKO COUSIN,JIRANI VYOVYOTE VILE TAFADHALI TUWASILIANE!!!!!

Habari,ladies and gents!!! Je unamfahamu mwanamama yeyote ambae amefanikiwa katika bishara zake ?biashara yeyote ile,mafamikio ni pale mtu anapopiga hatua kubwa zaid kutoka kwenye kitu alichokuwa anakifanya Mwanzo kwenda kwenye kitu kingine Tofauti,kwa mfano alitoka kwenye kufuma vitambaa mpk kufungua Duka,au mama ntilie mpaka shughuli za catering na anapata tenda katika sehemu tofauti tofauti,Any point of success biashara yeyote ile,
Kama unamfahamu tafadhali tuwasiliane kwa namba 0788177347,piga au tuma meseji Nitakupigia usibipu Tafadhali,mwanamama awe tayari kufanyiwa interview,Tafadhali wasiliana na mimi kwa maelezo zaidi,It is a serious Deal,

Please Tuwasilianeeeeee!!!!!!!,let's empower women first,
Ata kutoka mkoani,sio lazima Dar

No comments:

Post a Comment