Friday, 23 March 2012

LINAH YOU SHOULD BE AN ICON,KATIKA HARAKATI ZAKO ZA KUFANYA MUSIC KUMBUKA KURUDI SHULE PIA,UTAFIKA MBALI ZAID YA HAPA ULIPO!!!

 Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya linah Sanga kwa sasa yuko Marekani kwenye tour ya almost miez minne kufuatia shavu alilopata,kama unavomuona katika picha she is shining,mi  NI number one fan wake na nina uhakika atafika mbali ili mradi asivimbe kichwa kama wasanii wengine Tunawaona,wanasahau kama wanabeba dhamna kubwa sana au wansahau kuwa wao ni inspiration ya watu wengine katika jamiii,Go Go Go Gal,alafu ukumbuke kurudi shule Form four its not what you deserve,Naona wasanii wengi wa Tz wameishia form Two wakipata pesa wanakimbilia kukESha club,matanuzi yasiyo na msing siingilii maisha yao ila Kila sIku wanamuziki wapya wanazaliwa,Invest in other things sio TU kufungua saloon,duka la nguo,sijui vipodozi unasahau Shule, pUB ,you need to act and live as an intellectualS,soma ukichoka music unaendeleza Career .Huo ni Mtazamo wangu tu

No comments:

Post a Comment